Dhuluma ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yatinga kwenye vyombo vya habari vya Kimataifa

Kuna wabakaji wa demokrasia kama Chadema??

Kwanini hamfanyi uchaguzi wa ndani ya chama??
Kwa kiharusi chako unamuwaza Mbowe asiwe mwenyekiti ndiyo demokrasia. Huangalii taratibu katiba na Kanuni za chama unaangalia ndoto za ccm. Endelea kuota Mbowe anabaki kuwa mwenyekiti na nyinyi endeleeni na demokrasia yenu ya wenye kifafa.
 
Mabeberu hayana nafasi vikipatikana vyama kumi vya upinzani vinatosha ,msajiri anapaswa kuendelea kusajiri vyama vipya hivi vingine vimechoka na kuchokwa ndio maana wameweka mpira kwapani
 
Nyumbu hawana hoja
 
Watendaji wamefanya kazi yao vizur sana waliopewa siku ile walipoitwa ikulu kwa mara ya kwanza katika maisha yao.
Propaganda za Chadema kwa sasa zimejikita katika kudai "Watendaji waliitwa Ikulu" na wanachama wao kwa kutokujua wamelishikia bango.

Kwa kutotaka kuelimisha wanachama wao, kumepelekea kutojua uchaguzi wa serikali za mitaa hausimamiwi na Tume ya uchaguzi bali unasimamiwa na Tamisemi, wizara iliyoko Ikulu chini ya Ofisi ya Rais. Wala hawakuwaelimisga kanuni mpya za uchaguzinwa Serikali za mitaa zilizoanza kutumika mwaka huu.
Sasa sijui hao watendaji wangesimamiaje uchaguzi bila ya kupatiwa semina ya kanuni za usimamiaji ukizingatia Wakurugenzi waliokuwa wakitoa semina hizo walizuiliwa na Mahakama kuu, kusimamia uchaguzi?
 
Rubbish
 
Mabeberu hayana nafasi vikipatikana vyama kumi vya upinzani vinatosha ,msajiri anapaswa kuendelea kusajiri vyama vipya hivi vingine vimechoka na kuchokwa ndio maana wameweka mpira kwapani
Rubbish
 
Rubbish
 
Wapinzani hawana cha kuwaambia watanzania, na wamepata sababu nzuri kama kivuli cha kujifichia kwa kuishiwa hoja.
Nilimwona padri pale ikulu sasa yeye balozi. Je wakati yupo upande wa pili kabla hajawa mtoto mkubalika alikuwa anasemaje?
 
We ni kama jibwa tena lile lizee tu, hizi nondo wanazimwaga saa ngapi wakati bwana mkubwa anataka awaone ccm tu wakifanya siasa??.

Kweli kama hutumii masabuli kufikilia basi unatumia ubongo wa maiti alooza kutafakari.
Ni maoni yangu tu
 

Dah,sijui ulikuwa unatumia matako wakati wa kuandika badala ya Ubongo[emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…