Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

Ipakue hapa. https://cloudup.com/files/ivumRL-5FeY/download dogo anatumika vibaya sana
 
Dogo hajielewi..Anazidi kukimbiza mashabiki wake. Eti anasema ugomvi wa Gwajima na Bashite kausababisha Mange. Njaa mbaya sana,anawaza leo tu badala ya kufikiria miaka kumi ijayo. To hell diamond
 
Huo wimbo hautapigwa wala kutajwa katika vituo vifuatavyo
Clouds Media
E- FM
ITV na Redio One
EATV
Labda utasikika kwa muda vituo vifuatavyo
Uhuru Fm
TBC
Mbona Clouds wanapiga huo wimbo tena sana tu.

Tatizo huwezi kuliondoa kwa tatizo.
 
kila poxt ninayopita ni wew na bashite oyeee
 
Na wkati gwajima.alisema ugomvi wao ni jimbo sasa dai anataka ugomvi na askofu.
 
Aisee ur right, Diamond z a qualified idiot!!akae tuu kimya maana zamu yake bado...na lait kama watu wote wangekua na mawazo ya kipuuz kama yake Tz ingekua bado kolon la muingereza na south isingekua huru...tatizo mlimpeleka twishen ya kiingereza tuu mkasahau mambo ya msing...
 
Jaman !!




Hivi huu wimbo mmeusikiliza kwa umakini na kuutafakari kweli wakuu?? Maana inawezekana bado kuna shida katika kuuelewa vizuri na maudhui yake lakin mimi naona ni wimbo mzuri tu ila ndani yake una direct and indirect themes.
Huwa sizipendi nyimbo zake ila niliposikia Roma nikatamani niusikie na nimeuelewa!Kwamba watu wengi isipokuwa yeye,hawana kazi za kufanya wanajadili ubashite!Anadharau na huenda ni haki yake,si ana hela!
 
Ni aibu kwa taifa lenye wasomi wenye level mbalimbali kuanzia certificate, Diploma, Degree, Masters na PhD wakiongozwa na walimu wa walimu maprof wanashikiwa akili mbaya zaidi mpaka mwenye dhamana ya kupambana na waharifu yuko busy kulike post za muharifu Mange
 
Reactions: Oxx
Iv watu wenye chuki na Bashite ni kwasabab moja tu ya cheti? I think wengine atahakai DsM. Mpandikiza chuki amefanikiwa kwa kiasi kikubwa. Wengi Uongozi wa Bashite ata haugusi maisha yao kwa namn yoyt lkn kutwa wanapiga kelele. Tz sasa unafk umezd. Mimi kuanzia Leo simuamn CCM wala CHADEMA yeyote. Kutufanya mazombi it's enough now. Ikifika 2020 nitafanya tathmn mwenyew nani ni nani kitaeleweka tu
 
You can't silence people cocochanel why all these happening this time? Brainstorming lady!!
 
Chuki zakijinga hizo
 
Dogo anatumika movie ya kitekwa roma.
Babu talent+bashite+diamond and the likes kama fid q nilimuamini ila naona nae ukabila ushamkamata...ila tushajua ile ni movie tu na diamond ndio katoa soundtrack yake
 
Sijaona kosa la diamond mpaka sasa!mbona Nay anaimba na hajatukanwa?!au kwa kuwa kaimba diamond?!

Mange ni chizi tu kama machizi wengine,anataka watu wamuamini yeye kwa lazima kama nani?!
Mange kasemaje kwani!??
 
Jaman !!




Hivi huu wimbo mmeusikiliza kwa umakini na kuutafakari kweli wakuu?? Maana inawezekana bado kuna shida katika kuuelewa vizuri na maudhui yake lakin mimi naona ni wimbo mzuri tu ila ndani yake una direct and indirect themes.
Hiyo ndio kazi ya fasihi, itafsiri kadri uwezavyo uki relate na hali halisi. Kang'ata na kupuliza!...hajaside popote!...

Kailaumu serikali,
Kawalaumu anaowaona kama wachochezi,
Kaonesha masikitiko yake juu ya wafanyiwayo wasanii,
Kawalaumu wapinzani na bunge kwa upana wake,
Kaonesha ananafasi ktk jamii na jamii inataka kusikia neno lake juu ya yanayoendelea, lakini naye anaogopa kwamba inaweza kumkost akitoa neno juu yake,

Analalamika watu kupenda kupiga soga sana kuliko kufanya kazi!

Mwisho kabisa, hajui kama taifa tunasimamia nini, n kama hatuna muongozo wa kulijenga taifa,!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…