Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

Wewe ndio unasema juu ya uoga.

Mjifunze kuheshimu maamuzi ya binadamu wengine, sio lazima kila mtu atafute pesa kupitia kiki ya Kiongozi kwa kufata mkumbo wa uongo unaotungwa.

Mnapenda kuamulia watu kama vile, nyie mnaishi kwa kuamuliwa.

Amewapa ukweli na maisha ni yake.

Makonda oyeeeeee
sasa bashite kafikaje apo
 
Ninachosikitika siasa zimetugawa, yaani imekuwa kama uadui, na hii sumu wanaisambaza watu wa upinzani ni sumu mbaya sana, itafika kipindi utashindwa kumsaidia mtu tu kisa itikadi zenu tofauti, sasa kosa la diamond platnumz lipo wapi, hii inchi kila mtu yupo free kuchagua anachokitaka ili mradi asivunje sheria, diamond kawasilisha maoni yake kupitia mziki. Kuwa na itikadi tofauti isiwe tatizo, ila Ninachosikitika sana wanasiasa na mitandao ya kijamii inatugawa vibaya sana, mpaka inafikia Kipindi tunaomba mabaya yatokee kwa nchi yetu, ili kuikomoa serikali, yaani mpaka kwenye kusifia tunakosoa na kwenye kukosoa tunasifia.Watu wanaomponda diamond platnumz ndio hao wanalalamika kila siku inchi haina demokrasia, lkn hawajui diamond platnumz ametumia haki yake ya msingi ya demokrasia kawasilisha mawazo yake kupitia mziki wake. Tanzania kwanza, tusilichukulie hili swala la ROMA kisiasa eti ni la upande fulani. Nammlaani sana kimambi, kwani hii sumu anayoisambaza, haina tofauti na kile kituo cha radio Rwanda kilichorusha habari za kibaguzi, mwisho wake kukawa na mauwaji ya Kimbari. Watanzania tuwe makini sana tusiruhusu mitandao ya jamii na wanasiasa watugawe.
Umeongea mazuri mengi ila kusema eti wanasiasa wa upinzani ndio wanasambaza chuki, akiko lako limekosa sifa ya kuwa katika jukwaa hili LA great thinkers!

Wabunge wanafungwa, wananyimwa dhamana,
Hakuna mikutano ya siasa ambayo IPO ktk katiba,
Hakuna kuruhusu majadiliano ya wawakilishi wa wananchi live,
watu wanalalamika kukatwa na bodi ya mikopo asilimia kubwa zaidi ya mkataba wao,
watu wanapotea katika mazingira yasiyoeleweka name kadhalika!

Haya yote yanaleta chuki kwa wananchi,je hay a ni kazi ya wapinzani?
Grow up bwana!
 
Diamond kauimba huu wimbo kwa akili vizuri sana nilicho gundua ndani ya wimbo huu ni direct and iderect themes. Bt wengi hawajausikiliza kwa kuutafakari
Nahisi watakuwa walifeli Somo la Kiswahili Kwenye Matumizi ya Fasihiiii..
Watu ambao wanaupondea huo wimbo
 
Huu uzi unaonyesha jinsi watanzania walivyo shallow kwenye kutafsiri vitu, huu wimbo wengi wametoka kapa! Wameamua kuutafsiri ktk title yake tu ya NIACHE NIKAE KIMYA.
kwahiyo uko deep peke yako na wewe ndio unajua kutafsiri kwa usahihi kile kilichoandikwa
 
Yaani nape tuu kutolewa ka mtutu mayoweeee ......kipindi slaa kavuja damu kimyaaa.... Kisiasa nilikua namuelewa sana Zitto mpaka alipotweet kitu asichokua na uhakika ....UKURUPUKAJI .... Kama Nape alivyotoa tamko la serikali baada ya kuona video Instagram ..... Makonda alikua na ulinzi wake ni kikosi maalum akaenda clouds lakini kelele nyiiiingi . Watu walitaka avue viatu ndo aingie .... Yaani vikelele visivyo na mashiko yeyote , yaani huezi amini mtu maisha yamemkamata mpaka anakuwa team mange [emoji3] [emoji3] ..... Kweli kabisa mtu unakaa na kujudge kwa info za mange? Kweli sisi watanzania tunamuhitaji Magu kuliko tunavyofikiri ...... Endeleeni kumskiza mange na kuamini serikali imemficha Roma [emoji111]
 
Diamond ni msanii mkubwa TZ hatakiwi kaa kimya kwa hili mama yake kabugi sio ushauri mzuri, leo zamu ya wengine, mfano siku figisu juu ya mali zake zitakapoanza mtokea kisa mgongano wa kimaslahi na watu flani akae kimya asianze kulalama-mama ake akumbuke hili!..
Ndo ulicho gundua tu..au bado unaskiliza..sio lazima utoe hata usichokijua....yaan hata kwa akili ya kitoto unaelewa kabisa mamaake kamwambia akae kimya ila yeye kagoma na kuongelea...yaan wabongo bana..
 
Nahisi watakuwa walifeli Somo la Kiswahili Kwenye Matumizi ya Fasihiiii..
Watu ambao wanaupondea huo wimbo
Sahihi kabisa mkuu huu wimbo ni mzuri na hauna shida isipo kuwa wengi hawajauelewa wao wamebeba dhana moja tu ya nikae kimya wamesahau ndani ya huo ukimya wake yameongelewa mambo indirectly.
 
Tatizo lenu nyie mumeijaji hiyo nyimbo kwa upande mmoja tu,ila diamond amesema kwa kila upande...hebu kaisikilizeni tena hiyo nyimbo
 
Bora tu angekaa kimya kuliko kutoa huu wimbo,tayari kashaonyesha anamtetea bashite ambaye anatiliwa mashaka kutokana na ishu za kufoji vyeti,kumiliki magari ya watu aliowataja kwenye matumizi/biashara ya madawa,kuvamia clouds media,tukumbuke alimpiga Warioba........
Bora kukaa kimya kuliko kuongea pumba ukaharibu cv yako,mondi kaonyesha kuwa ni pumba
Huyu punda ni mfitini sana vita ya Gwajima na RC imepoa ye kaanza kuichochea kwa kutumwa na mtumishi hewa .Bishop aliongea baada ya kutajwa kwenye vita hewa but yeye anakujakuimba eti ni ugomvi wa mtandaoni ndio chanzo.Hapana mvulana huyu asitumike kwenye vitu vya msingi.[HASHTAG]#vivaroma[/HASHTAG]
 
Mpaka hapo tayari diamond ni mfuata mkumbo, mwoga na mnafiki, kitendo cha kutumia neno " Eti " manaake anajifanya hana uhakika kwa lolote, pia kaamua kujitia upumbavu kwa kusema ugomvi gwajima na Konda kichocheo ni Mange, na mwisho anasisitiza kwamba kaambiwa akae kimya kama Sio kutafuta Kiki kisiasa mbona ameongea na mbaya zaidi ameongea mavi matupu.
We ambae si muoga na mfuata mkumbo...una nin na unamchango gani kwa Taifa adi apo ulipofikia wew.
 
Tukio la kusindikiza Weekend,


Chadema ilikuwa ya 2010 bana,
 
Iv watu wenye chuki na Bashite ni kwasabab moja tu ya cheti? I think wengine atahakai DsM. Mpandikiza chuki amefanikiwa kwa kiasi kikubwa. Wengi Uongozi wa Bashite ata haugusi maisha yao kwa namn yoyt lkn kutwa wanapiga kelele. Tz sasa unafk umezd. Mimi kuanzia Leo simuamn CCM wala CHADEMA yeyote. Kutufanya mazombi it's enough now. Ikifika 2020 nitafanya tathmn mwenyew nani ni nani kitaeleweka tu
Unamaanisha kwa kuwa mtu hakai DSM apaswi kukumea uvunjifu wa amani na utawala wa sheria tena vitendo hivyo vinafanya na mkuu wa mkoa?

Ni kweli ushabiki sio mzuri ila tumia akili yako kupambanua mambo vizuri..
 
Sioni shida ya wimbo wake ameeleza hisia zake in mature way labda mna yenu kutaka kila mtu awe ama upande huu ama ule!
 
Back
Top Bottom