Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi wametabili sanaDaimond atapotea soon mda utasema
Huyu Mange anakoelekea atatugawa Sana watz, yaani daah inasikitisha sanaNinachosikitika siasa zimetugawa, yaani imekuwa kama uadui, na hii sumu wanaisambaza watu wa upinzani ni sumu mbaya sana, itafika kipindi utashindwa kumsaidia mtu tu kisa itikadi zenu tofauti, sasa kosa la diamond platnumz lipo wapi, hii inchi kila mtu yupo free kuchagua anachokitaka ili mradi asivunje sheria, diamond kawasilisha maoni yake kupitia mziki. Kuwa na itikadi tofauti isiwe tatizo, ila Ninachosikitika sana wanasiasa na mitandao ya kijamii inatugawa vibaya sana, mpaka inafikia Kipindi tunaomba mabaya yatokee kwa nchi yetu, ili kuikomoa serikali, yaani mpaka kwenye kusifia tunakosoa na kwenye kukosoa tunasifia.Watu wanaomponda diamond platnumz ndio hao wanalalamika kila siku inchi haina demokrasia, lkn hawajui diamond platnumz ametumia haki yake ya msingi ya demokrasia kawasilisha mawazo yake kupitia mziki wake. Tanzania kwanza, tusilichukulie hili swala la ROMA kisiasa eti ni la upande fulani. Nammlaani sana kimambi, kwani hii sumu anayoisambaza, haina tofauti na kile kituo cha radio Rwanda kilichorusha habari za kibaguzi, mwisho wake kukawa na mauwaji ya Kimbari. Watanzania tuwe makini sana tusiruhusu mitandao ya jamii na wanasiasa watugawe.
inaonekana umemjua sasa hivi huyo mange!Huyu Mange anakoelekea atatugawa Sana watz, yaani daah inasikitisha sana
Kama toilet paper?Diamond ninaanza kumshitukia sana!Anatumika....
Sijaanza kumjua leo, ila nachojua kuhusu huyu Dada ni mvurugaji tu na kigeugeu. That's allinaonekana umemjua sasa hivi huyo mange!
Ungemfatilia kipindi cha uchaguzi usingeandika hayo maneno!
Na wenye mamlaka walinogewa kweli na maneno yake
Itabidi warudi tena Darasani wakajifunzeSahihi kabisa mkuu huu wimbo ni mzuri na hauna shida isipo kuwa wengi hawajauelewa wao wamebeba dhana moja tu ya nikae kimya wamesahau ndani ya huo ukimya wake yameongelewa mambo indirectly.
Mtu akiandika tofauti na mnavyofikiria mnakimbilia kutukana.Inaonekana ulizaliwa kwa bahati mbaya wewe ndio maana unawaza kwa kutumia mkia