simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
We miss Saa8, Saa8 where are you?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ulivyo na uhuru wa kutoa maoni na kumtukana mtu hapa....ndivyo hivyohivyo naye kawakilisha maoni yake kupitia wimbo.I have now confirmed that Diamond is an Idiot.
Free of speech mazafakas.
Msilete ujinga wa kupangia mtu nn cha kupenda na kusema.
Pumbaaf
Ukikua, na kubahatisha walau kuwa na utulivu wa akili post hii utaifuta!uhalisia upi ww? acha pumba
Unakimbia wewe sungura sie bado tuna furah nay3Dogo hajielewi..Anazidi kukimbiza mashabiki wake. Eti anasema ugomvi wa Gwajima na Bashite kausababisha Mange. Njaa mbaya sana,anawaza leo tu badala ya kufikiria miaka kumi ijayo. To hell diamond
We na yeye nan dogo kwanza? Huna pesa bata za mawazo kusafir kwa lift bado unajiita mkubwa?Dogo hajielewi..Anazidi kukimbiza mashabiki wake. Eti anasema ugomvi wa Gwajima na Bashite kausababisha Mange. Njaa mbaya sana,anawaza leo tu badala ya kufikiria miaka kumi ijayo. To hell diamond
Diamond kauimba huu wimbo kwa akili vizuri sana nilicho gundua ndani ya wimbo huu ni direct and iderect themes. Bt wengi hawajausikiliza kwa kuutafakariDiamond Platnumz ameachia wimbo wake mpya kwa kushtukiza uitwao ‘Acha Nikae Kimya.’ Wimbo unazungumzia masuala mengi yanayotokea sasa ikiwemo hofu iliyotanda baada ya Roma na wenzie kutekwa.
Wimbo huo hata hivyo umepokelewa kwa hisia tofauti.
Hizi ni sababu zake kwanini ameamua kuuachia:
Ili Nchi ipate maendeleo inahitaji Upendo na Ushirikiano wa Wananchi na Serikali..Na Nikiwa kama Msanii, jukumu langu ni kuhakikisha natumia Hekma na busara kukemea jambo nilionalo haliko sawa ili lirekebishwe, lakini pia panapokuwa hakuna maelewano jukumu langu pia ni kupatanisha ili kwa pamoja tujenge nchi yetu kusudi wazazi wetu, watoto pamoja na familia zetu waishi kwa Upendo Amani na kufurahia nchi yetu…Na ndiomaana kwenye nyimbo nakwambia “MI NA WEWE WA TAIFA MOJA…KAMBARAGE BABA MMOJA….SASA TOFAUTI ZA NINI TUSHIKAMANE TUKAIJENGE TANZANIA”… Unatakiwa utambue kuwa kila kiongozi ni Binadamu na kama wote tujuavyo, Binadamu hatujakamilika… hivyo katika nchi yoyote lazma wakati mwingine kuna jambo linaweza likawa haliko sawa, ila sisi kama wananchi tunatakiwa tutumie Hekima na Busara kwenye kufikisha ujumbe ama hoja zetu ili viongozi walieke sawa…Busara na Hekima itafanya viongozi watuelewe kirahisi na pengine mengi tuyatakayo tutimiziwe kirahisi… mfano mzuri, juzijuzi kupitia kipindi cha Clouds360 cha clouds Tv nlipopata bahati ya kuongea na Mh Raisi nilimuomba atufungulie Mabanda ya Chipsi na Bodaboda ziruhusiwe kufanyakazi hadi asubuhi maana zilikuwa nwisho saa 4 ama 5 usiku…kwakuwa nilitumia Hekima na busara kwenye Kufikisha hoja ama Ombi langu..alikubali na tukapewa ruksa na sasa hivi maeneo mengi ya Chipsi na Bodaboda yanafanya kazi hadi usiku mnene… hivyo tusikubali tu kulishwa Sumu za kuleta ugomvi kati yetu wenyewe kwa wenyewe eti Mara Tutukane mara sijui fanyeni hiki, wakati hata baadhi ya wanaochochea mambo hayo hawaishi Tanzania wanaishi Ulaya / Marekani / kifupi nje ya nchi…ikija kutokea bahati mbaya kimenuka wao watakuwa wanakula kuku kwa mrija huko walipo…halafu sisi na familia zetu ndio tutateseka na kuhaha kunusuru roho zetu usiku kucha.. Hatutaki makelele ya Uchonganishi mitandaoni, kama mtu kweli anauchungu na nchi na kweli akisemacho anamaanisha aje, na kwa pamoja twende sehemu husika kupeleka malalamiko sio kukaa kitandani kupost kuchochea Ugomvi kumbe anatuchora na kutufanya kama sie mataahira wake, anatupeleka mara kushoto mara kulia… Akikaa pekeake anatucheka kuwa sie wajinga wake katueka mkononi…
Nimefurahi alivyoisimamisha Nchi.acheni roho za korosho,, diamond ni icon musician kwa tz
At least mkuu umeuelewa wimbo asante.Hiyo ndio kazi ya fasihi, itafsiri kadri uwezavyo uki relate na hali halisi. Kang'ata na kupuliza!...hajaside popote!...
Kailaumu serikali,
Kawalaumu anaowaona kama wachochezi,
Kaonesha masikitiko yake juu ya wafanyiwayo wasanii,
Kawalaumu wapinzani na bunge kwa upana wake,
Kaonesha ananafasi ktk jamii na jamii inataka kusikia neno lake juu ya yanayoendelea, lakini naye anaogopa kwamba inaweza kumkost akitoa neno juu yake,
Analalamika watu kupenda kupiga soga sana kuliko kufanya kazi!
Mwisho kabisa, hajui kama taifa tunasimamia nini, n kama hatuna muongozo wa kulijenga taifa,!