Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

Ujinga ni pale tunapogundua hata kile unachokisema huwezi kukisimamia kwa sababu kuna mtu kafikiri badala yako! [HASHTAG]#umaskini[/HASHTAG] wa mawazo ni mbaya kuliko wote#
Hueleweki bonge
 
Mkuu unajua ulisemalo. Luteni wa jeshi hakuwa na cheti, na alikuwaje mkuu wa secondary na pia katibu mkuu wa chama. Acha kuongea vitu huvijui
 
Sikiliza vizuri huo muziki mara kadhaa, sikiliza tena na tena.

Si uko nao siku zote?
Ama ulezi unafanya uogope?
Na media wanalalama kiongozi atoke
Nchi inaingia matope...

Huyu dogo ana akili kuliko unavyodhani...
Nimekauambia ni so oxymoronic,nimekosa kiswahili chake,lakinini nimetoa mfano kuwa mtu anasema nina sumu tamu,lakini ukiangalia heading yake nimesema ni kimya chenye kelele. .kumbe basi diamond alikuwa anahangaika kubalance pande zote mbili kwa Watanzania na upande wa serkali lakin kubwa zaidi

LESSON YA wimbo wake ni kutuasa kukaa kimya,kuwa kwa mfano sahivi Roma amepotea tukae kimya,swala la vyeti tukae kimya,that is the message and his lesson to us..

Kama mshairi alitakiwa
Kuelimisha,kuburudisha lkn pia kukosoa pale inapo bidi anyways kafanya vzr pia kutetea!!
 
Mkuu unajua ulisemalo. Luteni wa jeshi hakuwa na jeshi, na alikuwaje mkuu wa secondary na pia katibu mkuu wa chama. Acha kuongea vitu huvijui
Uliza ndo ujue usikrupuke
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Mr single touch double manifestation!!
Ila diamond Mungu anakuona maigizo mliyo cheza yani we we meneja wako na bashite mnajua kabisa mwenzenu roma yuko wapi unajifanya kuleta sympathy mitandaoni igizo lenu limebuma[emoji57][emoji57]
 
Wanaopigania uhuru wa maoni na kujieleza...wao wenyewe ndio wa kwanza kutoheshimu maoni ya wengine yanayokinzana na mitazamo yao.......

Kwao maoni yanayofaa ni yale yanayopendeza masikioni mwao na mioyoni mwao......hawako tayari kusikia maoni ya wengine yanayokinzana na fikra zao.....

Alafu watu hao hao wanajiita ni wanaharakati wakipigania uhuru wa kujieleza na kutoa maoni.........

Mimi binafsi nachukulia alichozungumzia Msanii Diamond ni maoni yake au mtazamo wake kama ambavyo mwengine angetoa maoni yake na watu wangeshangilia na kumuita shujaa.......

Only in Tanzania......
 

Wewe ndio ling'ombe unaedhani hapa suala la cheti ni kuhusiana na ujuzi wa kazi anayofanya.


Kuandika kwenyewe hujui ndio utaweza hata kutumia akili kutafakari?
We mwenyewe Bashite tu.
 
Watu wanatuliza vichwa madarasani sio kwa wasanii failure kumukichwa.
 
Wewe ndio ling'ombe unaedhani hapa suala la cheti ni kuhusiana na ujuzi wa kazi anayofanya.


Kuandika kwenyewe hujui ndio utaweza hata kutumia akili kutafakari?
We mwenyewe Bashite tu.
Utalinganishaje mambo ya kusomea darasani kama udaktar ambayo ni mambo ya kitaalam kabisa na maswala ya uongozi kuna sehem wanatangaza kuwa kuna interview ya kuwa mkuu wa mkoa ebu tafakari basi
 
Tafuteni "senti" zitawasaidia maisha yenu.

Vyeti vya Makonda havitawasaidia chochote kwenye maisha yenu.

Viva Makonda!
 
Nice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…