Msarendo
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 10,533
- 6,562
lazma aipige hiyo. na atachambua ubeti baada ya ubetiduuh
sipo IG bro
sema inabid askofu kesho atupigie kwanza kabla hajaanza kumchambua Almasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lazma aipige hiyo. na atachambua ubeti baada ya ubetiduuh
sipo IG bro
sema inabid askofu kesho atupigie kwanza kabla hajaanza kumchambua Almasi
Hueleweki bongeUjinga ni pale tunapogundua hata kile unachokisema huwezi kukisimamia kwa sababu kuna mtu kafikiri badala yako! [HASHTAG]#umaskini[/HASHTAG] wa mawazo ni mbaya kuliko wote#
Mkuu unajua ulisemalo. Luteni wa jeshi hakuwa na cheti, na alikuwaje mkuu wa secondary na pia katibu mkuu wa chama. Acha kuongea vitu huvijuiMakamba alikuwa mkuu wa mkoa wa dar kwa takribana miaka kama sita iv na hana cheti chichote......ukuu wa mkoa haina utofauti ni ubunge haihitaji elimu ya form six ili uwe mkuu wa mkoa au wilaya izo ni nyasifa za kisiasa......ebu tifautisha kati ya daktari na mkuu wa mkoa tumia akili kutafakari mambo usiendee kama ling'ombe
Nimekauambia ni so oxymoronic,nimekosa kiswahili chake,lakinini nimetoa mfano kuwa mtu anasema nina sumu tamu,lakini ukiangalia heading yake nimesema ni kimya chenye kelele. .kumbe basi diamond alikuwa anahangaika kubalance pande zote mbili kwa Watanzania na upande wa serkali lakin kubwa zaidiSikiliza vizuri huo muziki mara kadhaa, sikiliza tena na tena.
Si uko nao siku zote?
Ama ulezi unafanya uogope?
Na media wanalalama kiongozi atoke
Nchi inaingia matope...
Huyu dogo ana akili kuliko unavyodhani...
Uliza ndo ujue usikrupukeMkuu unajua ulisemalo. Luteni wa jeshi hakuwa na jeshi, na alikuwaje mkuu wa secondary na pia katibu mkuu wa chama. Acha kuongea vitu huvijui
akome [emoji2]lazma aipige hiyo. na atachambua ubeti baada ya ubeti
Naona unatapa tapa kwelialmasi itageuka maji kesho. domo akome kutumiwa na bashite
Ni mdgo mkubwa,lkn ujumbe uko wazi mno,katuasa tuwe tunakaa kimya fullstop,nakadai hata yeye amekuwa anakaa kimyaa,watu wanamuomba aseme lakn mma yake kish muasa akae kimyaaUwezo wa watanzania kuutafsiri wimbo
Poa tujulisheUliza ndo ujue usikrupuke
Makamba alikuwa mkuu wa mkoa wa dar kwa takribana miaka kama sita iv na hana cheti chichote......ukuu wa mkoa haina utofauti ni ubunge haihitaji elimu ya form six ili uwe mkuu wa mkoa au wilaya izo ni nyasifa za kisiasa......ebu tifautisha kati ya daktari na mkuu wa mkoa tumia akili kutafakari mambo usiendee kama ling'ombe
Watu wanatuliza vichwa madarasani sio kwa wasanii failure kumukichwa.Nimesa comment zenu wengi naona uchambuzi wa sanaa umewapita kushoto,jaribuni kuchukua muda wenu msikilize walau mara mbili mara tatu mtamuelewa sana diamond,mama ake kamwambia akae kimya...je ukisikiliza hiyo nyimbi mmeuona huo ukimya? Kaongelea masakata ya vyeti vya bashite, kaongelea kuhusu nape,roma na bunge...mwishoni akawa anaisikitikia tanzania wapi tunakoenda....sanaa inahitaji mtu utuluze akili sana ili uielewe
Utalinganishaje mambo ya kusomea darasani kama udaktar ambayo ni mambo ya kitaalam kabisa na maswala ya uongozi kuna sehem wanatangaza kuwa kuna interview ya kuwa mkuu wa mkoa ebu tafakari basiWewe ndio ling'ombe unaedhani hapa suala la cheti ni kuhusiana na ujuzi wa kazi anayofanya.
Kuandika kwenyewe hujui ndio utaweza hata kutumia akili kutafakari?
We mwenyewe Bashite tu.
NiceDiamond ni mnafiki.,ask me why,nitajibu kwa kifupi
1.kama mama yake amemwambia akae kimya kwanini katunga wimbo??Huo ndio ukimya??
Nyerere ambaye ndiye aliwekwa kwa cover ya Huo wimbo alikuwa hakai kimya,alikuwa anaonya,kukemea na Tena akawaencourage vijana wawe na ujasiri WA kuhoji,,Leo hii diamond anasema tukae kimya.,,ubashite huu.
Pia,ameonesha kukerwa na swala la kudiscuss vyeti vya bashite!!,hivyo hakupenda wimbo WA naytruboy!!!,hivyo alitaka wasanii wote wakae kimya!!!!wasihoji,,huyu kijana anawaangusha watz,,sisi tunahoji alipo Roma,wasanii wenzake wamekusanyika kutia juhudi ili mwenzao apatikane,yeye itakuwa alikuwa anarecord(hakutokea pale)
Mh,ndio sababu nilitilia Shaka ile post ya meneja wake babutale,nahisi ule ulikuwa ni mpango uliosukwa tayari,na wimbo ulikuwa tayari prepared kwa hili tukio.Hebu tujiulize,,babutale ni wa kumvimbia makonda kiasi kile kweli ???si marafiki sana na bashite???na juzi bashite alikuwa studios zao jamani???hamuoni kuwa makonda alikuwa studios kukamilisha hii project.
Na kama tale anakataa uoga(post yake insta)angemkataza diamond asirelease wimbo unawataka watu wakae kimya!cha ajabu tayari link iko kne bio yake.!!!!ajabu hii!!!!!
Kwahiyo tiffa akipotelea pasipofahamika napo atakaa kimya?au ni kwa sababu hayajamkuta yeye,??
Diamond anaplay kama snitch!na atafaidika sana kifedha na role anayoplay!!!.serikali inawapenda watu kama diamond sana