Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

According to the law of graduality "Between truth and falsehood there is no graduality"

In the situation of injustice, being neutral implies that you favour the wrong side. that is what the self proclaiming Diamond did.
 
Na maoni aliyoyatoa Ney wa Mitego kwenye wimbo wake ni aina gani ya Freedom....!!??


Nimekuelewa Unachoongea na Maneno Yako Yanaishara Nyingi

Hivyo cha Muhimu Tuhifadhi Muda Kuna ya Muhimu Zaidi ya Kuyajadili

Kuwa na Jumamosi Njema, Mkuu
 
Ulipambana na shigongo??wap??? Acha unyumbu wewe ni mnafiki kama alivyo huyo daimond
Me ndio najua sio lazima ww ujue,ishia kutu kujipa majina,kwani Erick juzi kati amekuwa akitoa ushauri gani dhidi ya Diamond na kiba...uko so awkward ndio maana
 
Nimekuelewa Unachoongea na Maneno Yako Yanaishara Nyingi

Hivyo cha Muhimu Tuhifadhi Muda Kuna ya Muhimu Zaidi ya Kuyajadili

Kuwa na Jumamosi Njema, Mkuu

Nawe ndugu uwe na wakati mwema...
 
VP, kaenda kinyume na matarajio yenu?
Wa Roma mlifurahi Mpaka Magego yenu yote nje.
Muwe tayari kusikia maoni ya wengine , japo masikioni mwenu hayapendezi.
Ndo uhuru wa maoni huo[emoji16]
 
Almasi yenye harufu ya kinyesi inasafishwa na vihiyo..inabidi sasa awe anamwimbia mama yake baada ya kumuacha mzee anachoma mahindi
 
akili ndefu na masaburi kama ya bashite ndio wataelewa [HASHTAG]#imebuma[/HASHTAG]
 
Mkuu bana kwa hiyo wenye akili ndefu ndio wana mawazo kama haya yako?

Duuh basi bora nibaki nilivyo aaasheeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…