Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

Unasema hadi Amekamatwa na serikali ikiwa na maana kuwa serikali yenyewe imetikiswa, halafu hapo hapo unadai "hakuna kilichotokea"?

Akili yako unaijua mwenyewe kwa kweli.
 
Anajipoteza kimziki.. Taratibu Bashite anamuuzia kesi. Anasahau yeye ni mwanamziki na sio mwanasiasa.

Hakuna nyimbo ya hovyo kama hiyo. Watu wanakandamizwa anawaambia wakae kimya?
 
acha kumdhalilisha simba mnyama huyo mondi ni paka kama vipaka vingine
 
Sababu ya kuja duniani haikuwa kutafuta fedha.
Reconcile na ubongo wako.
It comes a time money gets/becomes funny!!!!!

Kuna mijitu kama Mansa Musa inashikilia record ya mtu tajiri kupata kutokea lakini haikuacha legacy yoyote zaidi ya kujikusanyia wanawake tuu!!

Kina Hitler walifanya mapinduzi ya mapigano na zana za mapigano duniani, kuna kina Newton kwenye ma physics, kichoff, ohm, kina bill gates wanaacha legacy ya computer software.

Naseeb kama mansa ni kuchungulia alipotokea baaaaasi.

Nawe unasadifu akili mbovu za naseeb.
 
Kama kampeni za ccm tu.Ni yaleyale but tofauti ni mwaka.Nyoka ni yuleyule ila amebadili shimo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…