Katoa mawazo yake baada ya kusikia wimbo.. Toa yako naweWewe ndio unasema juu ya uoga.
Mjifunze kuheshimu maamuzi ya binadamu wengine, sio lazima kila mtu atafute pesa kupitia kiki ya Kiongozi kwa kufata mkumbo wa uongo unaotungwa.
Mnapenda kuamulia watu kama vile, nyie mnaishi kwa kuamuliwa.
Amewapa ukweli na maisha ni yake.
Makonda oyeeeeee
Hivi Diamond ana nyimbo nzuri yeyote?
Naisi Iyo Nyimbo Imetolewa Kwa Shinikizo..
naona kaamua kua neutral kaogopa ku side na upande wowote..
[HASHTAG]#freeromamkatoliki[/HASHTAG]
Diamond akili yake ni kama ya Bashite, walipoakaa kushauriana upuuzi walitaraji watanzanzia ni wapumbavu kama wao.Hiki sio kipindi cha kutuletea sinema za kitoto.Yeye na Tale nadhani wanataka kuziona hasira za Watanganyika.Nimesa comment zenu wengi naona uchambuzi wa sanaa umewapita kushoto,jaribuni kuchukua muda wenu msikilize walau mara mbili mara tatu mtamuelewa sana diamond,mama ake kamwambia akae kimya...je ukisikiliza hiyo nyimbi mmeuona huo ukimya? Kaongelea masakata ya vyeti vya bashite, kaongelea kuhusu nape,roma na bunge...mwishoni akawa anaisikitikia tanzania wapi tunakoenda....sanaa inahitaji mtu utuluze akili sana ili uielewe
Hana wimbo mzuri, tuambie wewe mwenye wimbo mzuri unamzidi nini Mondy?? Kufikiria kwa kutumia naniliu ni hatari sana wewe [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]Hivi Diamond ana nyimbo nzuri yeyote?
Mpaka hapo tayari diamond ni mfuata mkumbo, mwoga na mnafiki, kitendo cha kutumia neno " Eti " manaake anajifanya hana uhakika kwa lolote, pia kaamua kujitia upumbavu kwa kusema ugomvi gwajima na Konda kichocheo ni Mange, na mwisho anasisitiza kwamba kaambiwa akae kimya kama Sio kutafuta Kiki kisiasa mbona ameongea na mbaya zaidi ameongea mavi matupu.Wewe ndio unasema juu ya uoga.
Mjifunze kuheshimu maamuzi ya binadamu wengine, sio lazima kila mtu atafute pesa kupitia kiki ya Kiongozi kwa kufata mkumbo wa uongo unaotungwa.
Mnapenda kuamulia watu kama vile, nyie mnaishi kwa kuamuliwa.
Amewapa ukweli na maisha ni yake.
Makonda oyeeeeee
Kuwa na amani mkuu, huyo ni rafiki ya Bashite kwahivyo hawezi kutekwa.Kwa kosa gani atekwe?