Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

Huuu mchongo tu wamepanga na bashite wampoteze roma alafu atoe nyimbo ili ikiki kisawasawa na mashaka sana na mwenendo wote wa kupotea kwa roma na hawa watu muda utaongea nawaambieni
 
Wewe ndio unasema juu ya uoga.

Mjifunze kuheshimu maamuzi ya binadamu wengine, sio lazima kila mtu atafute pesa kupitia kiki ya Kiongozi kwa kufata mkumbo wa uongo unaotungwa.

Mnapenda kuamulia watu kama vile, nyie mnaishi kwa kuamuliwa.

Amewapa ukweli na maisha ni yake.

Makonda oyeeeeee
Katoa mawazo yake baada ya kusikia wimbo.. Toa yako nawe
 
Diamond ni msanii mkubwa TZ hatakiwi kaa kimya kwa hili mama yake kabugi sio ushauri mzuri, leo zamu ya wengine, mfano siku figisu juu ya mali zake zitakapoanza mtokea kisa mgongano wa kimaslahi na watu flani akae kimya asianze kulalama-mama ake akumbuke hili!..
 
Nimesa comment zenu wengi naona uchambuzi wa sanaa umewapita kushoto,jaribuni kuchukua muda wenu msikilize walau mara mbili mara tatu mtamuelewa sana diamond,mama ake kamwambia akae kimya...je ukisikiliza hiyo nyimbi mmeuona huo ukimya? Kaongelea masakata ya vyeti vya bashite, kaongelea kuhusu nape,roma na bunge...mwishoni akawa anaisikitikia tanzania wapi tunakoenda....sanaa inahitaji mtu utuluze akili sana ili uielewe
Diamond akili yake ni kama ya Bashite, walipoakaa kushauriana upuuzi walitaraji watanzanzia ni wapumbavu kama wao.Hiki sio kipindi cha kutuletea sinema za kitoto.Yeye na Tale nadhani wanataka kuziona hasira za Watanganyika.
 
Mondi kama lemutuz kwa sasa wanatumika kwa maslahi ya bashite, wanaelekezwa cha kufanya
 
Diamond ameamua kuzama kwenye tope na Bashite.
0394cfef94c9354103d652617c0c0fe0.jpg
 
Ingekuwa Dai ndo kapotezwa huyo mamake si angebeba wajukuu akamlilie Raisi? Avae viatu vya familia ambazo hazijui vijana wao wapo wapi....Bora angekaa kimya sio kutoa huo wimbo
 
Wewe ndio unasema juu ya uoga.

Mjifunze kuheshimu maamuzi ya binadamu wengine, sio lazima kila mtu atafute pesa kupitia kiki ya Kiongozi kwa kufata mkumbo wa uongo unaotungwa.

Mnapenda kuamulia watu kama vile, nyie mnaishi kwa kuamuliwa.

Amewapa ukweli na maisha ni yake.

Makonda oyeeeeee
Mpaka hapo tayari diamond ni mfuata mkumbo, mwoga na mnafiki, kitendo cha kutumia neno " Eti " manaake anajifanya hana uhakika kwa lolote, pia kaamua kujitia upumbavu kwa kusema ugomvi gwajima na Konda kichocheo ni Mange, na mwisho anasisitiza kwamba kaambiwa akae kimya kama Sio kutafuta Kiki kisiasa mbona ameongea na mbaya zaidi ameongea mavi matupu.
 
Akili ndogo haziwezi kuuelewa huu wimbo!
Tangulini mtu aloambiwa akae kimya eti Aje atunge wimbo unaoongelea mambo yanayotokea??
Hapo labda hamjaelewa,
Diamond hapo ndo keshaongea na mnachoshindwa kugundua labda kwavile hajaweka wazi yupo upande gani na hii ukiuskiza wimbo vizuri utagundua.
Inshort Diamond hajakaa kimya kama alivyokatazwa ndomana akatunga huo wimbo( hapo mbinu za kisanii zimetumika)
AU MNIAMBIE KUNA WIMBO WOWOTE AMBAO UMETOKA BADALA YA HUU NA UNAZUNGUMZIA KUPOTEA KWA ROMA ??
Ah wacha nikae kimya NIKOJOE NIKALALE
 
Back
Top Bottom