Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

Domo bana GSM ndio mabwana zake Kwahiyo lzm afuate masharti ya bashite
 
Limbwata la WCB kali sana
 
roma ametekwa na wavuta bange wenzake acha ujinga wewe
Bwana sijui bibi gonzo, soma alama za nyakati....wavuta bangi?!wamemteka ili iwaje?!wachukue misokoto iliobaki?!bashite anataka kuhit katika media....hapo tu, taratibu wahariri watalegeza kama wakiingia mtego wake...pale panafanywa ni mtakuja
 
Limbwata la WCB kali kweli
 
Mbona nawe unataka kumuamulia mawazo yake juu ya wimbo. Kama upo fair, kwanini unaona mawazo yake ni makosa? Unajifanya upo neutral wakati unaonyesha bias waziwazi.
 
Kwani tiffa mtoto wake,? Atakaa kimya tu
 
Walimwambia atunge kuneutralize chemical impacts za sifongo ya ney wa mitego wapo, na ile Tanzagiza
 
Duuu....Kinana kaongea ln hayo maneno mkuu....KWELI CCM HAWATABIRIKI
 
Miaka miwili jamaa wamelewa madaraka mwisho wa walio nyuma ya vitendo vya kialifu wajue uongozi unapita wasije jikuta wanafunwa jela maisha
 
Roho hainunuliwi,ukishakwenda umeenda,

mimi nilikuwa nawangaa kina ,Brucelee miaka ile wamekazana,"safari hii hatutakubali mswahili kutawala tena nchi hii"

nikawa nawambia acheni udini nyinyi,kwanza waswahili hawashobokei madaraka kama nyinyi halafu wana hekima ya kutawala kuliko nyie,
nyie bado mnapenda vya duniani na mkipata madaraka mnajiona mmekua miungu,hamjui kuwa kila kitu kina mwisho"


acheni sasa mnyooshwe na mtanyooka tu.
next time vote wisely
 
Nilichokiona hapa, wote waliotolewa povu na huu wimbo ni kile kipengele cha "watu wanaacha kutafuta sent wanabishana tu kuhusu vyeti" ukiangalia hajakosea japo siungi mkono mtu kufoji cheti ila kuna watu wanavidai mpaka unajiuliza wakishaoneshwa kwa mfano watafanyaje unashindwa ku imagn, ila kiukweli Diamond kajitahid kubalance sana kwenye huu wimbo.
Kuwa karbu na mtu ambaye watu wengine hawampendi na wew hajawah kukufanyia chochote cha ubaya ni wakat mgumu sana mpaka ueleweke....
 
Ujue ukiwa Kwenye Peak halaf wakakosekana wapinzani wa kukutoa kifuatacho unajitoa mwenyewe, Hakuna ubishi mpk nje ya mipaka ya nchi jinsi Mkuu alivyokua anasifiwa, wakenya waliokua wanamtaman asaiv wanamchora kweny magazet ya vikatuni, asaiv hata waliompa kura wengi wanajuta, bashite nae alikua na kundi lake kubwa tuu, wote hao Mambo yao wenyewe bila shinikizo yamefanya wamepoteza iman kwa waliokua na iman nao. Diamond siasa zitamponza mwenyewe,
 
Kukaa kimya nalo jibu katika wakati anao stahili kuchunga kauli na kuweka akiba ya maneno ni huu time will tell kila la kher mondi
Achague kubaki na sanaa yake au kuwa mwanasiasa isije jirudia historia ya marlaw Mr pipiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…