data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Haahaahaa... Atleast wewe unaelekea kuuelewa wimbo..Anamtafuta Mange Kimambi atalipata .....nimechunguza kuwa ni binti mmoja mtandaoni anachochea
Mi ngoja niendelee soma comments
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haahaahaa... Atleast wewe unaelekea kuuelewa wimbo..Anamtafuta Mange Kimambi atalipata .....nimechunguza kuwa ni binti mmoja mtandaoni anachochea
WCB wanatumika kama pedi ikichafuka tu Bashite anaitupa jalalani kama ilivyokua kwa Clouds Media.Haahaahaa... Atleast wewe unaelekea kuuelewa wimbo..
Mi ngoja niendelee soma comments
Sijui...ila kwa huo mstari nilitaka nimjue huyo binti ni nani.Diamond anamaanisha huyo Mange ndiyo kamtuma Bashite avamie Clouds media na silaha nzito za vita kulazimisha video ya kumchafua Gwajima irushwe Clouds TV?
Sasa kama kapata kimemo toka ikulu...atoe wimbo wa kutuliza mizuka akatae!!??Unaweza ukawa na pesa lkn usiwe na ufikiri. .Diamond ni Good Singer bt hana weledi na hao wanaitwa managers wake ni hopeless hawana focus na vision. [HASHTAG]#FreeRoma[/HASHTAG]
Ni wazi Bashite anamtumia Diamond kama pedi ikichafuka tu anaitupa jalalani.Huyu si ndiyo juzi alikuwa ofisini kwa Bashite, waliokaa kimya huwasikii kwa matendo tu unajua, dogo atulie tu Tz ya leo siyo ya Jana.
Kuna siku atapata kimemo kutoka huko-huko ulipopataja ikimuelekeza ampeleke Zari akalale kwa boss wa GSM kwa siku 2.Sasa kama kapata kimemo toka ikulu...atoe wimbo wa kutuliza mizuka akatae!!??
Akamuulize Ruge aliyekula chumvi nyingi ampe ushauri.Ni wazi Bashite anamtumia Diamond kama pedi ikichafuka tu anaitupa jalalani.![]()
uhakika gani? Japo naona Diamond hayuko sahihi kusema akae kimya ila nahisi na yeye hali ya huu upepo upo vibayaKabla ya kutoka hii nyimbo imepata baraka za BASHITE.
Mbona tunapeana bure hehehheheKatumwa na bashite dada yetu mange anasema hakuna kununua hii nyimbo na hasitutoe kwenye mada.
Swissme