Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanza kabisa ni seme. kwa niaba ya familia yngu tunashukuru kupatikana kwa roma...ila nina maono ambato yanaweza kuwa kweli au si kweli..
Nyimbo mpya ya diamond imetoka jana 7/04/2017... lakin just imagine ..roma kakamatwa tarehe 6/06/017.. na kwente mistari yake anasema "juzi anasikia na roma amekamatwa "..means nyimbo ameitunga siku ya jana tarehe hyo hyo 07/04/017.. je ita possble kufikiria mistari,kuiandika na kuirecord na kuipeleke kwenye mitandao na redion ndani ya siku moja...??? binafsi siamin kwenye hlo ata ungekuwa na intellegencia kiasi gan sio kufanya vyote hvyo kwa siku..
what i thnk there is possbility ya diamond kujua kuna mchezo utatokea kwa roma xo.. akatunga nyimbo mapema tu kwa ajili ya tukio hlo...
lakin hayo ni maoni yangu yanaweza yasiwe kweli au ya kawa kweli... asanteni...
Anaumwa huyoinawezekana hata kuandika siku hiyo hiyo
ana studio yake, wataalamu wake, kila kitu chake!!
acha ushamba
Shake well your head before use