Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

siku yakimkuta na yeye ndio atajua yeye ni mdogo au mkubwa!!
 
Hivi mkuu unaujua mziki vizuri?
Mi ni shabiki damu wa mond,
Na kwa hili kujiingiza ktk siasa sikubaliani naye kabisa na namuonea huruma kuwa anatupoteza mashabiki wake wengi. Ni bora angekaa kimya kuliko anayoyafanya.

Ila kwa msanii, hata masaa mawili yanatosha kutunga nyimbo.
Na bit ya nyimbo ni yakawaida sana wala hakuna cha kushangaza ktk nyimbo yake
 
Shigongo kati ya uliowataja kumchimbia Mondi kaburi ulimsahau Bashite nadhani kesha chimba na kumtumbukiza kabisa
 
Screenshot_2017-04-08-18-02-31.png
 
kwanza kabisa ni seme. kwa niaba ya familia yngu tunashukuru kupatikana kwa roma...ila nina maono ambato yanaweza kuwa kweli au si kweli..
Nyimbo mpya ya diamond imetoka jana 7/04/2017... lakin just imagine ..roma kakamatwa tarehe 6/06/017.. na kwente mistari yake anasema "juzi anasikia na roma amekamatwa "..means nyimbo ameitunga siku ya jana tarehe hyo hyo 07/04/017.. je ita possble kufikiria mistari,kuiandika na kuirecord na kuipeleke kwenye mitandao na redion ndani ya siku moja...??? binafsi siamin kwenye hlo ata ungekuwa na intellegencia kiasi gan sio kufanya vyote hvyo kwa siku..
what i thnk there is possbility ya diamond kujua kuna mchezo utatokea kwa roma xo.. akatunga nyimbo mapema tu kwa ajili ya tukio hlo...
lakin hayo ni maoni yangu yanaweza yasiwe kweli au ya kawa kweli... asanteni...

Mkuu usiwe kituko, kiongozi anakufa leo, kesho tayari watu wanaimba nyimbo mpya kabisa ya msiba na kurekodi. Usiwe kama Mr. Zero
 
Inawezekana akawa na wimbo lakini akatoa sehemu flani na kuweka mstari wa Roma. Mimi nimechukulia kutumia line ya kumtaja Roma ni sawa na kutafuta kiki ya wimbo wake, ili uwendane na wakati.



Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Maswali ya kujiuliza,,
1:Au ulezi unakufanya usiongee??.maana yake Ni kwamba Labda diamond anaogopa kusimama kwenye ukweli kuhusu vyeti kwakuwa makonda ni mlezi wa WCB..
2:Kuhusu Roma kupotea,,naona anaogopa kuhoji kwakuwa anahofia serikali..
3:Anasema roho iliuma baada ya NEY kukamatwa..Hiyo inamaanisha kwamba ney alisema ukweli na hakupaswa kukamatwa..
4:Ulimi usije niponza..
My take:Naona Diamond anaihofia saaaana serikali,na moja ya mambo anayoyahofia ni TRA..kwa story zilizopo,miezi kama saba iliyopita alipandishiwa kodi kufikia milioni 200,kama mnakumbuka alitoa povu clouds kwenye kipindi cha jahasi AKITISHIA KUHAMA CCM..
Namshauri diamond aache uoga au asikae karibu na siasa..karibuni sana..
 
mada haina mashiko KBS peleka huko big zako na diamond.......kuna ngoma wana-hiphop wanamlilia Roma tayar tunayo,,,,,NAyo je? Mav yako?
 
JF is for Great Thinkers...Acha kuandika kama vile upo facebook. Kwa mfano badala ya "so" unaandika "xo"...unadhani bandiko lako linaweza kuwavutia wasomaji?
 
Si mlisema hajakosea yeye kaliona kosa na kuomba radhi..alifocus msitari na vina vikuabali bila kuangalia mapokeo yatakuwaje
IMG-20170408-WA0018.jpg
 
Back
Top Bottom