Hakika nimekubali diamond ni msanii bora kwa miaka mitatu mingine pengine kipindi kirefu zaidi!
Sio kwamba anaimba vizuri kuliko wengine bali anajipanga kuliko wengine!
Diamond anajua biashara ya muziki!
Hongera sana!
Na wao watakapoamua kumuyeyushia asithubutu kutuletea kelele za akina lady jay dee, mara ooh nyimbo zangu hazichezwi kwenye media za nyumbani... kwani kaamua kuwadharau na kuona sio wa muhimu tena wakati ndio waliompandisha chati.
Hakika nimekubali diamond ni msanii bora kwa miaka mitatu mingine pengine kipindi kirefu zaidi!
Sio kwamba anaimba vizuri kuliko wengine bali anajipanga kuliko wengine!
Diamond anajua biashara ya muziki!
Hongera sana!
vitu vingine inabidi mtu ukubali tu hata kama una chuki na huyu bwana mdogo,big up mkuu ni wachache sana wanaweza kuona ulichoona....muziki ni zaidi ya kuimba tu kuna mambo mengi sana vinginevyo utaimba wimbo mmoja mzuri utasikifika kesho keshokutwa wanakusahau....kiukweli kajipanga sana kibiashara
Yaan watapata presha bure na msongo wa mawazo suluhisho ni Daimond dawa toshaaaa
Staki kuamini kwamba huu wimbo hata madereva wa bajaj hawajauelewa mpaka sasa....maana kila bajaj inayopita hapa nilipo ni mwendo wa mwana Dar es salaam na ile ngoma ya mtu mwenye nywele chache barnaba

ukiangalia video utajua kuwa hawajapigiwa watu kama madereva wa bajaj.....violin,piano....salsa classic dance, lamborghini, RR phantom na madereva wa boda boda tofauti........hio mwana daslam ndio type yao.

Mi mwenyewe sielewi sijui ni taarabu,mnanda au mdundiko?
There is no price to human dignity