Diamond aachia wimbo mpya: Nitampata Wapi? - Nov 20, 2014

Hakika nimekubali diamond ni msanii bora kwa miaka mitatu mingine pengine kipindi kirefu zaidi!

Sio kwamba anaimba vizuri kuliko wengine bali anajipanga kuliko wengine!

Diamond anajua biashara ya muziki!
Hongera sana!

vitu vingine inabidi mtu ukubali tu hata kama una chuki na huyu bwana mdogo,big up mkuu ni wachache sana wanaweza kuona ulichoona....muziki ni zaidi ya kuimba tu kuna mambo mengi sana vinginevyo utaimba wimbo mmoja mzuri utasikifika kesho keshokutwa wanakusahau....kiukweli kajipanga sana kibiashara
 
Staki kuamini kwamba huu wimbo hata madereva wa bajaj hawajauelewa mpaka sasa....maana kila bajaj inayopita hapa nilipo ni mwendo wa mwana Dar es salaam na ile ngoma ya mtu mwenye nywele chache barnaba
 
Na wao watakapoamua kumuyeyushia asithubutu kutuletea kelele za akina lady jay dee, mara ooh nyimbo zangu hazichezwi kwenye media za nyumbani... kwani kaamua kuwadharau na kuona sio wa muhimu tena wakati ndio waliompandisha chati.

Lady Jay Dee hajawahi kulalamika nyimbo kutochezwa na media za nyumbani, ila media moja tu ya CLOUDS ambao wana mgogoro nae!! Kwa hyo comment yako ina ukweli asilimia 5% tu.
 
Hakika nimekubali diamond ni msanii bora kwa miaka mitatu mingine pengine kipindi kirefu zaidi!

Sio kwamba anaimba vizuri kuliko wengine bali anajipanga kuliko wengine!

Diamond anajua biashara ya muziki!
Hongera sana!

hahahhah balaaa
 
vitu vingine inabidi mtu ukubali tu hata kama una chuki na huyu bwana mdogo,big up mkuu ni wachache sana wanaweza kuona ulichoona....muziki ni zaidi ya kuimba tu kuna mambo mengi sana vinginevyo utaimba wimbo mmoja mzuri utasikifika kesho keshokutwa wanakusahau....kiukweli kajipanga sana kibiashara

usipo mkubali mjini utamkubali kijijini then hupendi nyimbo unapenda video hahahaha ndomo noumer
 
Staki kuamini kwamba huu wimbo hata madereva wa bajaj hawajauelewa mpaka sasa....maana kila bajaj inayopita hapa nilipo ni mwendo wa mwana Dar es salaam na ile ngoma ya mtu mwenye nywele chache barnaba

Mi mwenyewe sielewi sijui ni taarabu,mnanda au mdundiko?
 
Staki kuamini kwamba huu wimbo hata madereva wa bajaj hawajauelewa mpaka sasa....maana kila bajaj inayopita hapa nilipo ni mwendo wa mwana Dar es salaam na ile ngoma ya mtu mwenye nywele chache barnaba

ukiangalia video utajua kuwa hawajapigiwa watu kama madereva wa bajaj.....violin,piano....salsa classic dance, lamborghini, RR phantom na madereva wa boda boda tofauti........hio mwana daslam ndio type yao.
 
hahaaaaa we jamaaa umenivunjambavu,
ila taratibu na madereva wa bodaboda wataielewa tu wiki haipiti.... chezea chibu weweee
 
ukiangalia video utajua kuwa hawajapigiwa watu kama madereva wa bajaj.....violin,piano....salsa classic dance, lamborghini, RR phantom na madereva wa boda boda tofauti........hio mwana daslam ndio type yao.

There is no price to human dignity
 
Video nzuri sana imetulia na nimeipenda kwani ina ubora wote.
Wimbo ndo haujanikaa vizuri kichwani.. yaani hauvutii masikioni.. ngoja niendelee kusikiliza tena na tena labda utakaa vizuri kichwani kwan hata mdogomdogo imenichukua muda mpaka kuikubali tofauti na nyimbo zake za awali.
 
Hakika nimekubali diamond ni msanii bora kwa miaka mitatu mingine pengine kipindi kirefu zaidi!

Sio kwamba anaimba vizuri kuliko wengine bali anajipanga kuliko wengine!

Diamond anajua biashara ya muziki!
Hongera sana!

Hadi sasa Dai ni the best
 
Diamond na Wema penzi lao ni la rohoni kila mmoja anampenda mwenzie kwa rorhoni na ni nadra sana kupata couple ya namna hii. Wengi wameshabikia sijui Zari. Jamani kama kweli Dai anampenda Zari alishindwaje kuteremka kwenye gari pale Aiport na kumsindikiza? eti aliogopa mapaarazi , mapenzi ya kweli hauwezi ogopa mapaparazi. Wema jiweke ndani yaviatu vya Dai.Umemnunulia zawadi mpenzi wako halafu anakuja mwinine aananunua zawadi kama uliyounua ungejisikiaje.Nawe Diamond unajichelewesha nini fanya maamuzi hata kama Magumu!
 
No hard feeling,speakin from deep down my heart..mi ni shabiki wa diamond sanaa lakini in my perception huu wimbo sio mzuri hauna taste za diamond zile nnazozijua,lakini naona kwa wengine ni mzuri then its ok lakini kwangu sijaupenda sana kwa maana ni ya level ya chini sanaa.

Usiniwaze kama huwezi kujiwaza.
 
Back
Top Bottom