RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Hakika nimekubali diamond ni msanii bora kwa miaka mitatu mingine pengine kipindi kirefu zaidi!
Sio kwamba anaimba vizuri kuliko wengine bali anajipanga kuliko wengine!
Diamond anajua biashara ya muziki!
Hongera sana!
vitu vingine inabidi mtu ukubali tu hata kama una chuki na huyu bwana mdogo,big up mkuu ni wachache sana wanaweza kuona ulichoona....muziki ni zaidi ya kuimba tu kuna mambo mengi sana vinginevyo utaimba wimbo mmoja mzuri utasikifika kesho keshokutwa wanakusahau....kiukweli kajipanga sana kibiashara