Diamond aachia wimbo mpya: Nitampata Wapi? - Nov 20, 2014

Wana wivu haooo haoooooo wana wivu haoiooooooooooooi mwendawazimu kaingiajeee! !!
Lambeni ndimu aiseeee

hahahaaa ,,,,, na bado....... watasubiri sana...Vita wameanzisha wenyewe na poooo wataanza omba wao.
 
mkuu em uweke hapa maana najaribu kuu upload hapa watu wajionee wenyewe lakn uploading ina fel
Nashindwa kuuweka na nimeufutilia mbali, nenda kwenye google andika "hulkshare" na kitakuja kibox cha Ku search then andika"diamond-nitampata wapi"
 
hahaaaaa haters at work!
na mtamuongelea sana leo diamond, jisongi ndo hilooo lishaachiwa na mtalipenda tu...

mjifunze kutofautisha msalaba na jumlisha
 
nilikuwa hata sijui kwamba kuna video loveleen
 
Last edited by a moderator:
Mr Nice huko aliko ni kicheko tu kwa kujipatia rafiki mpya.

Tehtehteh!!!!!!!!Tulimuonya sie hakutaka kutusikia,Arudi nyumbani tuvue dagaa sasa Mali za majini huwezi kuwekeza popote.
 
 
Last edited by a moderator:
hahaaaaa haters at work!
na mtamuongelea sana leo diamond, jisongi ndo hilooo lishaachiwa na mtalipenda tu...

mjifunze kutofautisha msalaba na jumlisha

Halafu Kuna X na kuzidishaa....uwiiiiiiiiiiiiiiiii......
 
Huo wimbo ukoje sijausikia kabisa kama ka copy za zamani atakua kwishney atafte skendo imu boost
 
Viol mbona hauchezi eti hauko available nchini
 
Last edited by a moderator:
Huo wimbo ukoje sijausikia kabisa kama ka copy za zamani atakua kwishney atafte skendo imu boost
Hata skendo zenyewe watu hawataki kuzisikia! mganga wake hajamlipa hadi Leo,kamzulumu bure babu wa watu.
 
hiyo ngoma sijaisikiliza ila title imekaa kiunderground saaanaa..eti ntampata wapi!....jina la kiundergound mnoo la wimbo!.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…