Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana wivu haooo haoooooo wana wivu haoiooooooooooooi mwendawazimu kaingiajeee! !!
Lambeni ndimu aiseeee
Nashindwa kuuweka na nimeufutilia mbali, nenda kwenye google andika "hulkshare" na kitakuja kibox cha Ku search then andika"diamond-nitampata wapi"mkuu em uweke hapa maana najaribu kuu upload hapa watu wajionee wenyewe lakn uploading ina fel
Wana wivu haooo haoooooo wana wivu haoiooooooooooooi mwendawazimu kaingiajeee! !!
Lambeni ndimu aiseeee
Mr Nice huko aliko ni kicheko tu kwa kujipatia rafiki mpya.
Mr Nice huko aliko ni kicheko tu kwa kujipatia rafiki mpya.
hahaaaaa haters at work!
na mtamuongelea sana leo diamond, jisongi ndo hilooo lishaachiwa na mtalipenda tu...
mjifunze kutofautisha msalaba na jumlisha
Halafu Kuna X na kuzidishaa....uwiiiiiiiiiiiiiiiii......
Kasikilize mwana bhana dar
Mr Nice huko aliko ni kicheko tu kwa kujipatia rafiki mpya.
Mkuu kama nyimbo mbovu acha tuseme.
Hata skendo zenyewe watu hawataki kuzisikia! mganga wake hajamlipa hadi Leo,kamzulumu bure babu wa watu.Huo wimbo ukoje sijausikia kabisa kama ka copy za zamani atakua kwishney atafte skendo imu boost