Huo wimbo ukoje sijausikia kabisa kama ka copy za zamani atakua kwishney atafte skendo imu boost
Katoka bongofleva akaja mchiriku,now taarabu.
Diamond ataifanya Tanzania isikike duniani kwa taarabu.
hiyo ngoma sijaisikiliza ila title imekaa kiunderground saaanaa..eti ntampata wapi!....jina la kiundergound mnoo la wimbo!.....
Nishaweka hapo ila wengine wanasema inagoma
Nishaweka hapo ila wengine wanasema inagoma
angalia hii diamond kaweka mwenyeweDuh!! Me nikijaribu kuiplay hiyo uliyoiweka hapo inaniambia hivi
Duh!! Me nikijaribu kuiplay hiyo uliyoiweka hapo inaniambia hivi
Duh!! Me nikijaribu kuiplay hiyo uliyoiweka hapo inaniambia hivi