Diamond aachia wimbo mpya: Nitampata Wapi? - Nov 20, 2014

Diamond aachia wimbo mpya: Nitampata Wapi? - Nov 20, 2014

Huo wimbo ukoje sijausikia kabisa kama ka copy za zamani atakua kwishney atafte skendo imu boost

Katoka bongofleva akaja mchiriku,now taarabu.

Diamond ataifanya Tanzania isikike duniani kwa taarabu.
 
Katoka bongofleva akaja mchiriku,now taarabu.

Diamond ataifanya Tanzania isikike duniani kwa taarabu.

Mhhh huko kufulia tu taarabu awaachie kina mzee Yusuph na kina bi Kidude ndo kaifikisha mbali taarabu
 
bado kidogo nitaombwa radhi na yule mod aliyefuta uzi wangu uliosema kiba atatoa video ya mwana remix baada ya huyu dogo kutoa video yake mpya maana walikuwa wanategeana maana kaingia choo cha kike kweli aisee, video afadhali lakini audio hovyooo....
 
Nishaweka hapo ila wengine wanasema inagoma

Duh!! Me nikijaribu kuiplay hiyo uliyoiweka hapo inaniambia hivi
 

Attachments

  • 1416475780865.jpg
    1416475780865.jpg
    35.5 KB · Views: 201
Only in Tanzania - Kwa Style hizi Bongo Flavor itafika mbali!
Bana pua.jpg
 
Msanii Diamond anaelekea kuvunja rekodi ya nyimbo yake kupakuliwa mara nyingi zaidi mitandaoni ifikapo leo saa nane...

Hatua hiyo inakuja baada ya nyimbo yake iliyoachiwa leo saa nane kushika nambari mbili kwa kupakuliwa zaidi hivyo Diamond atatumia masaa mawili tu kuisambaratisha rekodi ya mtandao wa mkito.com na kuandika ukurasa mpya ndani ya masaa manne tu tokea wimbo wake uachiwe...

Kama bado hujauona ingia youtube.com maana ushawekwa teyari....
 
Hata skendo zenyewe watu hawataki kuzisikia! mganga wake hajamlipa hadi Leo,kamzulumu bure babu wa watu.

Hahahaaa Ududu leo unanivunja mbavu hatariiiii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom