jamani jamani jamani mtafanya watu waseme umevuja bure
ushauri wangu!afanye remix fasta ya hii ngoma!...kwa hii audio anayoimba kama ananong'oneza!..sijui!
jamani jamani jamani mtafanya watu waseme umevuja bure
Nyimbo nzuri na Video nzuri.. Ali Kiba atakaa miaka elfu afanye video nzuri kama hii.. Dimondii Tz na East Africa hana mpinzani
Ameimba Swagga za Kassim -Tajiri wa mahaba.
Mkuu siliza vizuri beat ya huo waimbo wa Diamond nitampata wapi.. Na Ile ngoma ya Q chilla - Nitampata wapi kama yule... Kuna vitu vimecopiwa.. Wabongo ni sheeda
Yaani ma-pro wake wanatumia nguvu nyingi kuutangaza wimbo na kuutafutia skendo hoo sijui kipande kimevuja! Lakini lisongi lenye ni lichafu sijapata kuona.
Mkuu kama nyimbo mbovu acha tuseme.
Katoka bongofleva akaja mchiriku,now taarabu.
Diamond ataifanya Tanzania isikike duniani kwa taarabu.
Thanteee
Mkuu siliza vizuri beat ya huo waimbo wa Diamond nitampata wapi.. Na Ile ngoma ya Q chilla - Nitampata wapi kama yule... Kuna vitu vimecopiwa.. Wabongo ni sheeda
Jaman achen ushabk wa kijnga hapa mnampoteza huyu msanii wenu..
Huu wimbo ni wa kawaida sana..
Alpotoka na anapoenda n tofaut kabisa..
I prefer to listern BEST NASO - KHADIJA than this..
Mnaoponda nyimbo hebu tungeni na nyie muimbe tuoneee kama hamjachekeshaaaa,ukitaka kuujua utamu wa ngoma ujue style za kucheza
Wimbo umepooza kweli hauna tofauti na nyingine at least video kajitahidi
Hizi kelele zako zimenifanya niingie YouTube kuucheki...
kwakweli binafsi sijaona cha ajabu na video haina uhalisia kabisa....
Nani kamshauri ahangaike na wazungu?
Uliopooza ndio mzuri kwetu. Wengine hawapendelei wakucheza