Diamond aachia wimbo mpya: Nitampata Wapi? - Nov 20, 2014

Diamond aachia wimbo mpya: Nitampata Wapi? - Nov 20, 2014

jamani jamani jamani mtafanya watu waseme umevuja bure

Hahahaaaaa umeuaaaa best...wakiona umepondwa utasikia umevuja,na huko insta alikouweka atasema kuna watu wame hack a/c yake....heheheerr
 
nimeusikiliza uko safi japo niwe fair sio safi kivile, kumbe diamond anamkubari sana shedy clever..
Ila nahisi angeugonga manekee ungekuwa safi sana angeua kabisa maana beat ya ukimuona si mchezo.
Melody yake iko flat sana kwa upande wangu ila video safi .
But still I salute u platnumz
 
Ameimba Swagga za Kassim -Tajiri wa mahaba.

Mkuu siliza vizuri beat ya huo waimbo wa Diamond nitampata wapi.. Na Ile ngoma ya Q chilla - Nitampata wapi kama yule... Kuna vitu vimecopiwa.. Wabongo ni sheeda
 
Mkuu siliza vizuri beat ya huo waimbo wa Diamond nitampata wapi.. Na Ile ngoma ya Q chilla - Nitampata wapi kama yule... Kuna vitu vimecopiwa.. Wabongo ni sheeda

Sijasikiliza wimbo huo wa q chief miaka mingi lakini beat yake bado naikumbukumbuka, tofautisha ku copy na ku sample wabongo wengi hapo huwa tunachanganya.
 
Yaani ma-pro wake wanatumia nguvu nyingi kuutangaza wimbo na kuutafutia skendo hoo sijui kipande kimevuja! Lakini lisongi lenye ni lichafu sijapata kuona.

Chafu kivip kama unakosoa onyesha makosa yake ili tujue kakosea wapi ili next time asikosee tena. Kama wasema mbaya bila kutoa maoni yako, hiyo inaonyesha unawivu na maendeleo yake.
 
Katoka bongofleva akaja mchiriku,now taarabu.

Diamond ataifanya Tanzania isikike duniani kwa taarabu.

Huwezi kula mboga moja everday, mwili utakuwa dhaifu. Changanya ili mwili uwe imara.
 
Jaman achen ushabk wa kijnga hapa mnampoteza huyu msanii wenu..

Huu wimbo ni wa kawaida sana..
Alpotoka na anapoenda n tofaut kabisa..

I prefer to listern BEST NASO - KHADIJA than this..

Ni mawazo yako, usilazimishe wengine wawe kama ww
 
Mnaoponda nyimbo hebu tungeni na nyie muimbe tuoneee kama hamjachekeshaaaa,ukitaka kuujua utamu wa ngoma ujue style za kucheza


Hizi kelele zako zimenifanya niingie YouTube kuucheki...

kwakweli binafsi sijaona cha ajabu na video haina uhalisia kabisa....

Nani kamshauri ahangaike na wazungu?
 
Hizi kelele zako zimenifanya niingie YouTube kuucheki...

kwakweli binafsi sijaona cha ajabu na video haina uhalisia kabisa....

Nani kamshauri ahangaike na wazungu?

Ametumia wote ili kuonyesha kwamba c mbaguzi wa rangi
 
Back
Top Bottom