Diamond aambulia patupu kwenye tuzo za NEA Awards

Mond,hiyo ndo hatua ya kwanza kabisa kwelekea kifo chake kimziki.Watanzania walio wengi wanataka mabadiliko yeye bado kashupaza li shingo lake huko ugambani ameona sasa kaishia kusindikiza.
 
Duu kweli taifa linaelekea pabaya ungesema hata southafrika au niger kidogi USA unaota ww au kapimwe akili #next planet kule
Acha ujinga wako ww hatuwezi wafikia hadi mwisho wa maisha yetu unafika

Natamani kukuelewa kwa hiyo?kwa vile USA ni next level msanii anauhuru wa kusupport chama cha siasa akipendacho, lakini kwa vile sisi ni no level msanii haruhusiwi kuchagua chama akipendacho na akakisupport? UNAHITAJI TIBA WALAH.
 
Usijitoe upofu jamaa yako alienda kwenye event ya tuzo kubwa za Nigeria Entrainment Awards (NEA) huku kajipigilia suti ya kufa mtu ila mwisho wa siku aibu ikamfika, au unajifanya umesahau? Hahahaha

Basi wengi waliondoka na aibu,coz waliokuwa kwenye category ni wengi lakini waliopata tuzo ni wachache tu ze rest aliondoka na aibu au ni dai tu ndio aliondoka na aibu??
 
kwani hawakumwombea kura kwa wananchi wakati wa kampeni alizopiga show
 
Hiyo trela Tu bado videooo heloooooo
 
Na bado. Nasema hatokaa aje apate tuzo tena kama zile alikuwa anapata. Ndo atajua maana ya kutukana ukawa. Tumempuuza!
 
Nilikua shabiki yake.....Afrima nilikua na vote hadi siku ile alipojifanya kutukana mgombea wa UKAWA...Apigiwe na CCM wenzake
 
Natamani kukuelewa kwa hiyo?kwa vile USA ni next level msanii anauhuru wa kusupport chama cha siasa akipendacho, lakini kwa vile sisi ni no level msanii haruhusiwi kuchagua chama akipendacho na akakisupport? UNAHITAJI TIBA WALAH.

Ku support sio kosa....kosa ni kuanza kutukana wengine as if yeye ni mwanasiasa....Angekuwa mwanasiasa kama Prof J ...Ingeeleweka

Ati yeye ni mwanamuziki anamtukana mgombea wa UKAWA...Eti ikulu hawaendi wagonjwa...ooohh Sijui UKAWA ni chama cha kabila moja.....Apigiwe kura na Ma CCM wenzake
 

Oooooohh well and nice...Very great Success...Lakini kwa alichokifanya ....kutukana watu wa UKAWA...Its a Curse
 

Kweli apigwe tu, tumechoka sasa.
 

Binadamu na 'roho' zenu,mna nguvu za kimungu mnaamua nani apate nini na nani akose nini?
 
CCM muokoeni Diamond anaangamia huku.....jamaa hakujua kuwa mashabiki wake tunatoka vyama na itikadi tofauti.....na bado ataisoma mwaka huu....NYIMBO ZAKE TUTASIKILIZA ILA KURA ATAPIGIWA NA WANACCM WENZAKE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…