Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu kweli taifa linaelekea pabaya ungesema hata southafrika au niger kidogi USA unaota ww au kapimwe akili #next planet kule
Acha ujinga wako ww hatuwezi wafikia hadi mwisho wa maisha yetu unafika
Usijitoe upofu jamaa yako alienda kwenye event ya tuzo kubwa za Nigeria Entrainment Awards (NEA) huku kajipigilia suti ya kufa mtu ila mwisho wa siku aibu ikamfika, au unajifanya umesahau? Hahahaha
Natamani kukuelewa kwa hiyo?kwa vile USA ni next level msanii anauhuru wa kusupport chama cha siasa akipendacho, lakini kwa vile sisi ni no level msanii haruhusiwi kuchagua chama akipendacho na akakisupport? UNAHITAJI TIBA WALAH.
Kumbuka mpaka sasa DIAMOND anatuzo KTMA =16 +Kimataifa 13 +za heshima 2 na keshatambuliwa kama ni nembo ya taifa.NADHANI HII REKODI NDIO INAYOWAUMIZA SANA, na mutanyooka sana mwaka huu kwa7bu bado tuzo 5 ambazo yupo ktk kategori kibao hazijatangazwa na zipo tayari alizoshinda.
Ku support sio kosa....kosa ni kuanza kutukana wengine as if yeye ni mwanasiasa....Angekuwa mwanasiasa kama Prof J ...Ingeeleweka
Ati yeye ni mwanamuziki anamtukana mgombea wa UKAWA...Eti ikulu hawaendi wagonjwa...ooohh Sijui UKAWA ni chama cha kabila moja.....Apigiwe kura na Ma CCM wenzake
na baaado...
Diamond ameshapotea kwenye ramani ya muziki kwa ujinga wake wa kusapoti ccm,, muda si mrefu atabaki historia kama mr. nice
cc chige
Acha kujipa upofu ww, Unadhan hiyo suti nyekundu mondy alivaa akiwa wapi?
Wakuu! Mbali na team ya Diamond kuendesha propaganda na uongo wa kila namna katika mchakato wa upigaji kura wa tuzo za Nigeria Entrainment Awards (NEA), kuwa eti Mashabiki wa Diamond wamepiga votes nyingi kwa Diamond hadi system ya kuvote ikaharibika na kufungwa. Watu wengi makini walibaini uongo huo na kuupinga ila ndugu zetu hawa walituona sisi kama heates kumbe tulikuwa tunasimamia ukweli.
Gilba hizo na uongo huo wa mchana ambao lengo lake ulikuwa ni kuwahadaa watanzania kuwa Diamond is unshakable.
Hatimaye uongo huo juzi umefika mwisho baada ya matokeo ya tuzo hizo kutoka ambapo msanii Eddy kenzo wa Uganda kubeba tuzo hiyo ya best male in East Africa, huku Diamond akiambulia patupu na aibu tele.
My take:
Zama za gilba na uongo taratibu zinaenda kufika kikomo, tusubiri October 10 #Afrimma.