AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Wakuu! Mbali na team ya Diamond kuendesha propaganda na uongo wa kila namna katika mchakato wa upigaji kura wa tuzo za Nigeria Entrainment Awards (NEA), kuwa eti Mashabiki wa Diamond wamepiga votes nyingi kwa Diamond hadi system ya kuvote ikaharibika na kufungwa. Watu wengi makini walibaini uongo huo na kuupinga ila ndugu zetu hawa walituona sisi kama heates kumbe tulikuwa tunasimamia ukweli.
Gilba hizo na uongo huo wa mchana ambao lengo lake ulikuwa ni kuwahadaa watanzania kuwa Diamond is unshakable.
Hatimaye uongo huo juzi umefika mwisho baada ya matokeo ya tuzo hizo kutoka ambapo msanii Eddy kenzo wa Uganda kubeba tuzo hiyo ya best male in East Africa, huku Diamond akiambulia patupu na aibu tele.
My take:
Zama za gilba na uongo taratibu zinaenda kufika kikomo, tusubiri October 10 #Afrimma.