Diamond aambulia patupu kwenye tuzo za NEA Awards

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,047
Wakuu! Mbali na team ya Diamond kuendesha propaganda na uongo wa kila namna katika mchakato wa upigaji kura wa tuzo za Nigeria Entrainment Awards (NEA), kuwa eti Mashabiki wa Diamond wamepiga votes nyingi kwa Diamond hadi system ya kuvote ikaharibika na kufungwa. Watu wengi makini walibaini uongo huo na kuupinga ila ndugu zetu hawa walituona sisi kama heates kumbe tulikuwa tunasimamia ukweli.

Gilba hizo na uongo huo wa mchana ambao lengo lake ulikuwa ni kuwahadaa watanzania kuwa Diamond is unshakable.

Hatimaye uongo huo juzi umefika mwisho baada ya matokeo ya tuzo hizo kutoka ambapo msanii Eddy kenzo wa Uganda kubeba tuzo hiyo ya best male in East Africa, huku Diamond akiambulia patupu na aibu tele.

My take:
Zama za gilba na uongo taratibu zinaenda kufika kikomo, tusubiri October 10 #Afrimma.
 
Mnaongea kama mpo kwenye taarabu Eddy Kenzo anawashabiki wa kutosha mitandaoni ndio maana hata BET alifanya vizuri Diamond hakushinda coz kura hazikutosha si kwa sababu ya mambo ya siasa....kiba na Diamond wanapigia kampeni CCM kutafuta kipato kwao mziki ni biashara wakifa njaa hakuna wa kuwasaidia kwako ni kampeni kwao ni kazi jaribu kuwa muelewa hata UKAWA wakiwaita watakwenda chamsingi ni pesa tu.
 
Tulimwambia hatutampigia kura tena watz baada ya kujifanya yy ni ccm kwa kosa hilo hatopata tena tuzo....sheenz

Yule dogo aljifanya kbul na ccm yake wa2 wakazla kuto pga kura waTZ awatak ujinga siasa waachie akna mbowe, kingunge na walioba, polepole,
 
Mnaongea kama mpo kwenye taarabu Eddy Kenzo anawashabiki wa kutosha mitandaoni ndio maana hata BET alifanya vizuri Diamond hakushinda coz kura hazikutosha si kwa sababu ya mambo ya siasa....kiba na Diamond wanapigia kampeni CCM kutafuta kipato kwao mziki ni biashara wakifa njaa hakuna wa kuwasaidia kwako ni kampeni kwao ni kazi jaribu kuwa muelewa hata UKAWA wakiwaita watakwenda chamsingi ni pesa tu.

Mkuu hoja kuu ni kwamba! Diamond na team yake kwa kutumia mitandao ya kijamii walieneza propaganda kuwa system ya kuvote kwa upande wa Diamond imefungwa sababu kapigiwa kura nyingi mpaka system ikashindwa kuhimili votes hizo, hiyo ilikuwa ni propaganda mahususi ya kukatisha tamaa nominees wengine ili waache kuomba kura na mwishoni jamas huyu apitiwe bila kupingwa.
 
Yule dogo aljifanya kbul na ccm yake wa2 wakazla kuto pga kura waTZ awatak ujinga siasa waachie akna mbowe, kingunge na walioba, polepole,

Hahahaha mkuu huo ni mwanzo tu, atanyooshwa sana mwaka huu hata maguful hataenda kumsaidia.
 
A2katai mond kuwa na chama anacho kpenda coz n democrasia ila wa2 awapend kuona msanii wao yupo chama fulan ata kama n biashara. Mimi mwenyewe nlkuwa naangaika kuvote il jamaa ashinde ad Screen-Shot nlkuwa napga na kupost coz 2lkuwa 2najivunia na che2 2l2kanwa sana na tm kba nlpoona jamaa yupo ccm ad kupoxt et rais mzur yule mwenye afya bora niakaacha kuvote ata kumfollow istra mzk na siasa v2 vwl tofaut
 
Kweli mkuu hata mimi kuna mastaa kama 14 nimewaunfollow kwa ajil ya ushabiki mandazi wao wa kisiasa. Kwangu mimi Mbadiliko la Nchi yangu kwanza, mziki badae.
 
A2katai mond kuwa na chama anacho kpenda coz n democrasia ila wa2 awapend kuona msanii wao yupo chama fulan ata kama n biashara. Mimi mwenyewe nlkuwa naangaika kuvote il jamaa ashinde ad Screen-Shot nlkuwa napga na kupost coz 2lkuwa 2najivunia na che2 2l2kanwa sana na tm kba nlpoona jamaa yupo ccm ad kupoxt et rais mzur yule mwenye afya bora niakaacha kuvote ata kumfollow istra mzk na siasa v2 vwl tofaut
Mkuu unavyoandika hata kuna point inaonekana ni pumba. Rekebisha uandishi
 
Mnaongea kama mpo kwenye taarabu Eddy Kenzo anawashabiki wa kutosha mitandaoni ndio maana hata BET alifanya vizuri Diamond hakushinda coz kura hazikutosha si kwa sababu ya mambo ya siasa....kiba na Diamond wanapigia kampeni CCM kutafuta kipato kwao mziki ni biashara wakifa njaa hakuna wa kuwasaidia kwako ni kampeni kwao ni kazi jaribu kuwa muelewa hata UKAWA wakiwaita watakwenda chamsingi ni pesa tu.

Yaan ndugu humu jf sasa hivi GT hawapo wameingia wavamizi kila kitu kwao siasa.Dai na Kiba muziki ni kazi yao hata ACT wakiwataka wataimba mradi mshiko
 
Mkuu siasa ni maisha
 
kijana anajiona ni mwanasiasa saizi na hata hajui kwamba fans wake wako so sensitive kwenye siasa, dunia mapito hajaskia la fans ambao ni wakuu wake ndo kavunjika gogo hapa wacha wanaofanya muziku wajizolee hizo tuzo
 
kijana ni mwanasiasa saizi na hata hajui kwamba fans wake wako so sensitive kwenye siasa, dunia mapito hajaskia la fans ambao no wakuu wake ndo kavunjika gogo

Aisee hii kuhiingiza kwenye siasa itamcost sana
 
kuna washkaji hapa kitaa chetu walikuwa blood die hard fans wa diamond ila walikuwa wana wa ukawa jamaa alivopost tu nanihi washkaji hadi leo hawataki kupiga kura,
 
A2katai mond kuwa na chama anacho kpenda coz n democrasia ila wa2 awapend kuona msanii wao yupo chama fulan ata kama n biashara. Mimi mwenyewe nlkuwa naangaika kuvote il jamaa ashinde ad Screen-Shot nlkuwa napga na kupost coz 2lkuwa 2najivunia na che2 2l2kanwa sana na tm kba nlpoona jamaa yupo ccm ad kupoxt et rais mzur yule mwenye afya bora niakaacha kuvote ata kumfollow istra mzk na siasa v2 vwl tofaut

Unaandika kama unaa sijui nini!
 
Back
Top Bottom