Diamond aendelea kuwafunga midomo wanaomsema kuhusu nyumba

Diamond aendelea kuwafunga midomo wanaomsema kuhusu nyumba

mkuu sikupitia comment zako mimi nilisoma za jamaa kidogo nikaandika ninacho kijua. OVER
Mi niko poa kabisa na comment yako, kwa sababu ulichosema ni sahihi!! Nilikuwa tu namkumbusha akusome hadi mwisho!!
 
Mi niko poa kabisa na comment yako, kwa sababu ulichosema ni sahihi!! Nilikuwa tu namkumbusha akusome hadi mwisho!!
mkuu upo sahihi kabisa, nimepitia mjadala wenu nachokiona utaumiza kichwa tu. Kwani huyu mtu ataki kuelewa kabisa ni bora ufanye mambo mengine ila tupo tuliokuelewa.
 
Baada ya kelele nyingi mtandaoni kuhusu Diamond kuishi nyumba ya kupanga na wengine wakisema hana nyumba.

Ameendelea kuwajibu kupitia insta story, kwanza anawakumbusha ana mjengo south africa alioununua 2016.

Pia kawaonyesha moja ya mijengo yake uliopo mtaa namba moja mjini yani Sinza.

Na mimi nawakumbusha tu Chibu ana hotel ya ghorofa kadhaa hapa mjini na pia ana kijiji sio nyumba ipo mwisho mwisho kukamilika.

View attachment 1770265
View attachment 1770266

View attachment 1770269
Mbona anatumia nguvu nyingi sana kutangaza mali alizonazo? Mpaka leo sijawahi sikia Mo, Bahresa and the like wakiutangazia umma nini wanacho au wamenunua. If you have it is yours - sasa sijui watu wafanyeje!
 
Tulia sindano ikuingie vizuri.
 
Hujui kitu! Mke wa Kusaga ana 100% ngapi na mdogo wake Kusaga ana 100% ngapi??
Mbona TCRA washakujibu.
images (44).jpeg
 
Huwezi sema sasa ana miliki media! Sema ana share kwenye, Wasafi Media! Tafsiri yakumiliki maana yake he is 100% owner!

Mark zuckberg anatajwa kama mmiliki wa facebook ila uhalisia anamiliki share less than 50 %..

Kwa kigezo chako biashara kubwa karibu zote duniani zisingekuwa na wamiliki
 
Mark zuckberg anatajwa kama mmiliki wa facebook ila uhalisia anamiliki share less than 50 %..

Kwa kigezo chako biashara kubwa karibu zote duniani zisingekuwa na wamiliki
Kutajwa kuwa mmiliki nilazima uwe ndie muanzilishi na/ au mwenye majority share. So, kama Diamond anamiliki majority share za Wasafi ni sawa kufahamika kama mmiliki.
 
50% ni mmiliki halali huyo, hakuna wazo linaweza pitishwa bila yeye! Ila ingekua ana 49% tu kwenye company,basi anakua anapelekwa tu! Huoni Simba wanakataa kumpa MO 51% za umiliki,unadhani kwa nini!
Zuckerberg share zake hazizidi 30% ila anatambulika kama mmiliki wa Fb.
 
Aliyekuambia nani kwamba,ukiwa na share flan,kila faida inapigwa kwa % unayomiliki?? Unazijua dividends kweli au unashabikia tu,bendera fata upepo!! Anaweza kua analipwa mshahara tu na hizo share zake! Weka pembeni ushabiki wako,njoo na facts, ni kweli ana pesa,lakini sio unazotaka kusema wewe!
Msamehe bure. Kayumba academy ni shida.
 
Hiyo 30% inaweza kuwa ndio majority share holder, wengine wana 2%, 5% etc
Watu humu wanasema Diamond atakuwa hana sauti sababu ya 45% anayo miliki,vip huyu mwenye less than 30% na Hawa wenye 70%.
 
Watu humu wanasema Diamond atakuwa hana sauti sababu ya 45% anayo miliki,vip huyu mwenye less than 30% na Hawa wenye 70%.
Ukishamiliki zaidi ya 25% share kwenye kampuni ni lazima uwe na sauti.
 
Unadhani wote wanakua na wazo moja sasa! Ni ngumu sana! Kwanza wengine wana 0.2,wengine ndiyo hizo 2,3,4 hawawezi kua na sauti ya pamoja
Hilo unazungumzia ni probability,so inaweza ikatokea au isitokee what if I ikatokea? Hiyo sauti unaitolea wapi.
 
Back
Top Bottom