Diamond afanya show nzuri kuwahi kufanyika kwenye history ya muziki wa Tanzania

Unaweza kumkumbusha wajibu mtu ambaye wala hatambui kama duniani kuna kiumbe anayitwa Bob Sambeke ?

Watu unaopaswa kuwakumbusha ni ndugu, jamaa , majirani na marafiki zako.

Njoo ujisomee
 
Naunga mkono hoja.
 
Naona chawa akiuza utu wake
 
Wasanii wa bongo ubunifu wao ni mara wapande stejini na vitanda, wheelchair, pikipiki, baiskeli, malori ya mizigo, mikokoteni, yaani full ushamba ushamba tu hata hawaeleweki ndio maana harmo alivunja kiuno alipoanguka kama furushi la maharage
 
Huyo show kaiangalizia Wasafi tv hana ubavu wa kulipa hata hiyo laki moja,

Mashabiki lia lia wa Sadala ni choka mbaya waliojikatia tamaa

Sasa kama mashabk wake wengi ni choka mbaya,, anawezaje kuendesha maisha ya gharama namna hii like kuishi nyumba ya thamani kubwa, magari anayomiliki, kampuni alizowekeza,

Ndie msanii mwenye kuchaji dau la juu ktk shows zake iwe ndani au nje ya nchi, msanii mwenye followers wengi nchini kwenye mitandao yake ya kijamii na mengne mengi tu

Kwa kifupi tuache wivu wa kipuuzi na tushirikishe ubongo vzr tunapochallenge kitu

Sio lazima uwe shabk wake ila tuappreciate jitihada zake ukilinganisha alipokuwa miaka ile mpaka sasa alipo,, ni role model wa wasanii wengi nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…