Diamond afanya show nzuri kuwahi kufanyika kwenye history ya muziki wa Tanzania

Ukweli mtupu,Kijana wa Tandale ameupiga mwingi,
Huyu ilibidi sanamu yake iwekwe pale daraja la Tsnzanite,
Kama Brazil Wana Pele,sie East Africa(sio bongo tu)tuna Diamond!!
 
Diamondo kawa mweupe? Kweli Mungu mkubwa
 
"I was like it",!! Watanzania bwana ,kujifanya wajuaji lakini ukifika kwenye English mbuzi wana afadhali!
Kiingereza cha wapi hicho?!
 
Sawa Zuchu umesikika,
Haya nenda kamkatikie mpenzi wako
 
Nikimaliza kutafakari gharama za kiingilio ndio nitajiunga na Zogo lenu,
Inamaana watu wawili Mr&Mrs fulani walilipa Milioni 15!? Na baada ya Onyesho wakarudi kulala nyumbani!?
 
Wasanii wa bongo ubunifu wao ni mara wapande stejini na vitanda, wheelchair, pikipiki, baiskeli, malori ya mizigo, mikokoteni, yaani full ushamba ushamba tu hata hawaeleweki ndio maana harmo alivunja kiuno alipoanguka kama furushi la maharage
[emoji1]

Ova
 
-Bongo harmonize ndio msanii bora anajua kuimba ana kipaji na hatumii nguvu nyingi, wakati Diamond anatumia nguvu nyingi sana Machawa, Media zake,kiki nk nk,
-bottom line kama kweli Diamond ana pesa si alipe Kodi yake tu ya 700M? Kamishna Mkuu wa TRA amuandikie Demand Notice apewe ultimatum akishindwa wauze Mali zake Ili kufidia Kodi,i.e wakamate Rolls-Royce,au Nyumba au magari mengine, (kama alikuwa hajalipa)
 
Hakika wew Ni chawa wa Platinum

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…