Diamond afanya show nzuri kuwahi kufanyika kwenye history ya muziki wa Tanzania

Sorry bro wewe ni mmakonde?
 

I liked it***
I Was liking It ***
 
Kwakuwa Numbisa na cocastic hawajatia neno lolote hapa licha ya kuuona uzi huu..

No doubt. Ilikuwa show bab kubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku ifatilia hata, afu tangu mwanzo nilivoona ni copying kutoka huko mbelee, walaa sikutaka hata kujua nn kitakua. Mzee wa ku copy ana jipyaa gan mjini??

Wala hata hastui tenaaaa. Ye aendelee kudendeka na zuhura hadharani. Uwiiiiih.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasanii wa bongo huwa wanafanya maigizo jukwaani au muziki? Kwenda na kitanda au baiskeli jukwaani ni muziki au maigizo? Au mwingine kaenda na lori. Bongo fleva bado sana kwenye show za jukwaani. Christian Bella na wakongo wenzie ndo wanaweza hayo mambo ya jukwaani. Hata Peter Msechu pia. Diamond, Konde gang, Ali Kiba, Zuchu, Mario na wengine ni ushuzi mtupu. Yaani bora ukawatazame Twanga au Bogos Musica.
 
Hayo ya kwenda na kitanda si ndio ubunifu wenyewe
 
Koffie Olomide kamuharibu sana Mond avaa kama yeye siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…