Mwanamke matunzo anataka demu mkali halafu anakua mbahili.... kaniboa huyu mtoto wa Tandale na visababu vyake vya kijinga... si bora angekaa kimya.. sema tu mie ni shabiki wake ila kwa hili kanichosha
Kwa furaha ulionayo leo lazma umeongezeka kilo 2 kudadadeki zako kama mchawi vile ulivoshangilia ha ha haAhahahahh, wewe ni chiziiiiiiii ujue?? Khaaaa?? Wewe kiboko binamu, ni shidaaa
Nimekuwa nikiwafuatilia kwa six months nyie watu ni macelebrity basi tu hamjijui jinsi watu wanavyowafuatilia na kuwakubali huku mitaani... hata mods wanajua kuwa Celebrities Forum ni nomaaa ndan ya JF
Hahahaaaa ilikua hatariii ile siku jamani,kisa????murrano....
hahahaaaa....!!!
mods wenyewe wanakuja kuburudika huku!!
unaweza jikuta unamfagilia mkeo au demu wako!!
Nimekuwa nikiwafuatilia kwa six months nyie watu ni macelebrity basi tu hamjijui jinsi watu wanavyowafuatilia na kuwakubali huku mitaani... hata mods wanajua kuwa Celebrities Forum ni nomaaa ndan ya JF
C katoa murano anakuna mkono unapofika bila hvyo nyumba haitamalizika,pia familia inamtegemea
Unantafutia ban km siku ile ee..ushindwe
Binamu kuhonga ni kipaji huyu diamond kajaliwa kipaji cha kuimba kuhonga awaachie wakongo...
Kumbe ni team MONDI,mate yasije yakanikauka bureee!
Ila binamu umeumia mwenyewe uliipendaje couple yao? Pole ndo maisha, inabid uanze kuipenda couple ya shilole na nuhu mziwanda
Unantafutia ban km siku ile ee..ushindwe
Umenichekesha eti afatilie couple ya Nuhu na Shilole yaan hua nikiwasikia hawa Nuhu na shilole sina mbavu aiseeeee
Nimekuwa nikiwafuatilia kwa six months nyie watu ni macelebrity basi tu hamjijui jinsi watu wanavyowafuatilia na kuwakubali huku mitaani... hata mods wanajua kuwa Celebrities Forum ni nomaaa ndan ya JF
Nimekuwa nikiwafuatilia kwa six months nyie watu ni macelebrity basi tu hamjijui jinsi watu wanavyowafuatilia na kuwakubali huku mitaani... hata mods wanajua kuwa Celebrities Forum ni nomaaa ndan ya JF
juzi walikua kwenye planet bongo huyo shilole sasa anavyojishaua llooh!!
km njiwa sa kafara
kwel kabisa!! na hizi IDs na usernames...unawezakuta mkeo au demu wako ndo anapost vitu humu na hujui na huko nae karibia muda wote