Lv yenyewe mpaka ya kupigiwa kura lo mi siweziii aiseeeee
Tunakupenda piaa
Ahahaa pole binamu kwa kuibiwa simu, karibu umbeani
Ahahaah ahhahh aiseeh ni nomaa, maana inabid nije kwa Pm kupata mbinu mbadala ya kuwadhibit maadui, maana walikuwa wanakuja wengi uku unachambwa kule unachambwa, nakumbuka kuna mtu alikuwa ana comment kunitetea mimi nae si nikaanza kumchamba tena wakat alikuwa ananitetea, yan ilikuwa ni shidaaa
Asante binamu nishapoa, hahah umenikumbusha [MENTION=217870]Geniveros alivyoomba kukalibishwa umbeani
Mimi bwana nlikuaga naogopa kichambo ndo mana nlikua cjitokezi nikiona mabinamu mnachambwa naona mh! nkawa nasoma napiga kimya sasa juzi warumi nkaona sijui kwenye uzi gani kasema kuna wengine wambea wanasoma kimya hawachangii likaniuma nkasema kuanzia leo najitokeza kuchambwa nini kwani?
Weraaaaaaa watu na damu zetu bhana ambazo hazina virus , kwi kwi kwi kwi karibi binamu miaka miaaaaa
Ahahaah ahhahh aiseeh ni nomaa, maana inabid nije kwa Pm kupata mbinu mbadala ya kuwadhibit maadui, maana walikuwa wanakuja wengi uku unachambwa kule unachambwa, nakumbuka kuna mtu alikuwa ana comment kunitetea mimi nae si nikaanza kumchamba tena wakat alikuwa ananitetea, yan ilikuwa ni shidaaa
Asante binamu nishapoa, hahah umenikumbusha [MENTION=217870]Geniveros alivyoomba kukalibishwa umbeani
Mimi bwana nlikuaga naogopa kichambo ndo mana nlikua cjitokezi nikiona mabinamu mnachambwa naona mh! nkawa nasoma napiga kimya sasa juzi warumi nkaona sijui kwenye uzi gani kasema kuna wengine wambea wanasoma kimya hawachangii likaniuma nkasema kuanzia leo najitokeza kuchambwa nini kwani?
Yaaani hahaha watu mpaka wanagombea mtandio aliovaa mange beach, aseeeee mie akuuuu
Naona wambea mliotukuka Dinazarde na binamu wako Warumi mnatambaa na beat jukwaani.Hili jukwaa lina raha yake maana wengi tunaingia humu kujipooza baada ya mnyukano jukwaa la siasa.
Ahahahah ahaah olaaaaaah!! , ukasema hataaa kama noma na iwe nomaa bora ujitokeze upate kitu roho inapenda, safi sana, kwa nini uidhurumi nafsi yako na kitu roho inapenda? Karibu ujiachie bhana, kama vichambo tumeshavizoea na sisi ivi hawatuwez maana jeshi letu ni kubwa ukizingua lazima utafute pa kutokea
Kuna siku niliona kichwa cha habari kinasema tanzia mwenzetu Robert....... nikafungua haraka haraka nikasema jobless mwenzangu kadediiii auuu!!!! Kumbe Robert mwinginee hhhhhaa
Kuna jamaa yangu mmoja ambaye ni memba nate jf na anaijua id yangu naye aliniambia vivyo hivyo kama wewe.Jobless mwenzangu naona mnakumbushana ya nyuma maana humu jukwaani kulikuwa na mitanange isiyoishaga ila Warumi na wewe nyie sugu.
mi mwenzieo nimeingia siku ya kichambo tukachamba na mtu akija anakula kubwa
Kuna jamaa yangu mmoja ambaye ni memba nate jf na anaijua id yangu naye aliniambia vivyo hivyo kama wewe.Jobless mwenzangu naona mnakumbushana ya nyuma maana humu jukwaani kulikuwa na mitanange isiyoishaga ila Warumi na wewe nyie sugu.
Ahahhaha ahahah aiseweh nyie watu mnanikumbusha mbali sana, will always remember u guys,hahaha ilikuwa kila tukikutana , za hasubuhi jobless mwenzangu, aiseeh ila sie viboko , yule jamaa sijui aliendaga wapi
sunglass etiiiiAhahhaha ahahah aiseweh nyie watu mnanikumbusha mbali sana, will always remember u guys,hahaha ilikuwa kila tukikutana , za hasubuhi jobless mwenzangu, aiseeh ila sie viboko , yule jamaa sijui aliendaga wapi