Diamond afunguka "LIVE" Kuhusu kuachana na wema, BMW chanzo

Ahahaah ahhahh aiseeh ni nomaa, maana inabid nije kwa Pm kupata mbinu mbadala ya kuwadhibit maadui, maana walikuwa wanakuja wengi uku unachambwa kule unachambwa, nakumbuka kuna mtu alikuwa ana comment kunitetea mimi nae si nikaanza kumchamba tena wakat alikuwa ananitetea, yan ilikuwa ni shidaaa

Mimi bwana nlikuaga naogopa kichambo ndo mana nlikua cjitokezi nikiona mabinamu mnachambwa naona mh! nkawa nasoma napiga kimya sasa juzi warumi nkaona sijui kwenye uzi gani kasema kuna wengine wambea wanasoma kimya hawachangii likaniuma nkasema kuanzia leo najitokeza kuchambwa nini kwani?
 
Last edited by a moderator:
Asante binamu nishapoa, hahah umenikumbusha [MENTION=217870]Geniveros alivyoomba kukalibishwa umbeani

Ahahahaha aiseeh watu mna kumbu kumbu, na sisi bila hiyana tukampokea kwa mikono miwili, naona siku izi anafanya vizur sana, hatujajuta kumkaribisha
 
Mimi bwana nlikuaga naogopa kichambo ndo mana nlikua cjitokezi nikiona mabinamu mnachambwa naona mh! nkawa nasoma napiga kimya sasa juzi warumi nkaona sijui kwenye uzi gani kasema kuna wengine wambea wanasoma kimya hawachangii likaniuma nkasema kuanzia leo najitokeza kuchambwa nini kwani?

Ahahahah ahaah olaaaaaah!! , ukasema hataaa kama noma na iwe nomaa bora ujitokeze upate kitu roho inapenda, safi sana, kwa nini uidhurumi nafsi yako na kitu roho inapenda? Karibu ujiachie bhana, kama vichambo tumeshavizoea na sisi ivi hawatuwez maana jeshi letu ni kubwa ukizingua lazima utafute pa kutokea
 
Last edited by a moderator:
Ahahaah ahhahh aiseeh ni nomaa, maana inabid nije kwa Pm kupata mbinu mbadala ya kuwadhibit maadui, maana walikuwa wanakuja wengi uku unachambwa kule unachambwa, nakumbuka kuna mtu alikuwa ana comment kunitetea mimi nae si nikaanza kumchamba tena wakat alikuwa ananitetea, yan ilikuwa ni shidaaa

Yaaan ukaanza kumchamba tenaa hhhhhhhhaaaa,nakumbuka kuna nilikua sijui kama unachambwa wewe huo mchambo ukanivutia nikalike, halaf ukaona kumbe umechambwa wewe ulaniambia binam yaan unapitidha like nilipochambwaaa hhhhhhhhhaaaa
Halaf si unajua ukikuta page nyingi huwez zisoma zotee unarukia tu duuuuuu
Ila uzuri wako huchukiagi mtu binam hata akuchambejeee akija vizuri mtachat tuu! Mwingine anakuchukia jumla na kukuweka ignore list
 
Asante binamu nishapoa, hahah umenikumbusha [MENTION=217870]Geniveros alivyoomba kukalibishwa umbeani

hahaaaaaa mwenzangu bora niingie wajue kabisa mi mbea mwenzao kuliko kujifanya hutaki kumbe unasoma kimyakimya
 
Mimi bwana nlikuaga naogopa kichambo ndo mana nlikua cjitokezi nikiona mabinamu mnachambwa naona mh! nkawa nasoma napiga kimya sasa juzi warumi nkaona sijui kwenye uzi gani kasema kuna wengine wambea wanasoma kimya hawachangii likaniuma nkasema kuanzia leo najitokeza kuchambwa nini kwani?

mi mwenzieo nimeingia siku ya kichambo tukachamba na mtu akija anakula kubwa
 
Last edited by a moderator:
Naona wambea mliotukuka Dinazarde na binamu wako Warumi mnatambaa na beat jukwaani.Hili jukwaa lina raha yake maana wengi tunaingia humu kujipooza baada ya mnyukano jukwaa la siasa.
 
Kuna siku niliona kichwa cha habari kinasema tanzia mwenzetu Robert....... nikafungua haraka haraka nikasema jobless mwenzangu kadediiii auuu!!!! Kumbe Robert mwinginee hhhhhaa
 
Ahahahah ahaah olaaaaaah!! , ukasema hataaa kama noma na iwe nomaa bora ujitokeze upate kitu roho inapenda, safi sana, kwa nini uidhurumi nafsi yako na kitu roho inapenda? Karibu ujiachie bhana, kama vichambo tumeshavizoea na sisi ivi hawatuwez maana jeshi letu ni kubwa ukizingua lazima utafute pa kutokea

Asante binamuuu!hawatuwezi miaka miaaaa!chezea umbea nlikua napenzika MMU nikajikuta nashift Celebrities forum mpaka sa hivi nimepazoeamo jamani. NAWAPENDA MABINAMU WOTE MWAAAH!!!
 
Kuna siku niliona kichwa cha habari kinasema tanzia mwenzetu Robert....... nikafungua haraka haraka nikasema jobless mwenzangu kadediiii auuu!!!! Kumbe Robert mwinginee hhhhhaa

Kuna jamaa yangu mmoja ambaye ni memba nate jf na anaijua id yangu naye aliniambia vivyo hivyo kama wewe.Jobless mwenzangu naona mnakumbushana ya nyuma maana humu jukwaani kulikuwa na mitanange isiyoishaga ila Warumi na wewe nyie sugu.
 
Tuna sugu kila mahaliii hhhhhhaaaaaaa
 
Kuna jamaa yangu mmoja ambaye ni memba nate jf na anaijua id yangu naye aliniambia vivyo hivyo kama wewe.Jobless mwenzangu naona mnakumbushana ya nyuma maana humu jukwaani kulikuwa na mitanange isiyoishaga ila Warumi na wewe nyie sugu.

Ahahhaha ahahah aiseweh nyie watu mnanikumbusha mbali sana, will always remember u guys,hahaha ilikuwa kila tukikutana , za hasubuhi jobless mwenzangu, aiseeh ila sie viboko , yule jamaa sijui aliendaga wapi
 
Yule jamaa alikoma mwenyewe anajidai yeye muuza genge na muda wake wa kuingia saa kumi jioni baada ya shemeji yake kurudi kibaruani na kumuachia laptop.
 
Ahahhaha ahahah aiseweh nyie watu mnanikumbusha mbali sana, will always remember u guys,hahaha ilikuwa kila tukikutana , za hasubuhi jobless mwenzangu, aiseeh ila sie viboko , yule jamaa sijui aliendaga wapi
sunglass etiiii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom