Diamond aibuka na kupinga wimbo wake kufungiwa, asema nchi ina wenyewe

Diamond aibuka na kupinga wimbo wake kufungiwa, asema nchi ina wenyewe

Ukiongozana na mpumbavu nawe utakuwa mpumbavu
Ukiongozana na Mwerevu nawe utakuwa mwerevu
Wapumbavu wamekuwa wengi
Apeleke upumbavu wake huko eti nchi ina wenyewe... whawhawhatttttt?
Tumefikia huku?
Kwa hiyo hapo anamaanisha nchi ni ya wakristo ndiyo maana amefungiwa wimbo wake akajaribu kurekodia msikitini kama mpaka leo angeweza hata kuita hao waandishi kulalamika
 
Kama angelianzia kushutia msikitini, haya yote yasingelitokea!
Wimbo wangu ujao ntafanya ku-shoot-ia msikitini nione reaction itakayokuwepo!
[emoji41][emoji41]
Mkuu kuna Ticha aliliwa kichwa huko ufaransa plus maandamano mpaka huku KWA waislamu wa umatumbini Sasa wewe utasababisha sedi weldi waa
 
Wakati mwingine wakafanyie hayo maigizo yao kwenye misikiti! Kwa nini kanisani kila siku? Yeye na huyo mwezi wake, wote ni waislam! Iweje wasiende kufanyia hiyo shooting msikitini, au kwenye Madrasa?

Hongereni sana BASATA. Angekuwa ni Mkristo akaenda kufanya hayo maigizo msikitini, muda huu zingekuwa kelele nchi nzima.
Labda huko anapofanyia ni rahisi zaidi kupata ruhusa toka kwa wahusika wa Kanisa.
 
Huyu Nassib na mjinga mwenzie hawana adabu! Eboo!
Assume kama angelitokea msanii mwenzetu akashutia msikitini kipi kingelitokea kama sio kuanza kuchomeana makanisa?
Eti nchi inawenyewe, tuendelee kuliwakilisha taifa lao!
Ebo!
 

Attachments

  • Screenshot_20220508-214022.jpg
    Screenshot_20220508-214022.jpg
    10.9 KB · Views: 28
Serikali ya Tanzania inaendeshwa kishamba tu.

Huyo Diamond video zake zingeweza kutumika kuitangaza nchi vizuri kuliko Royal Tour, kwa gharama yake mwenyewe, wao wanazi ban.

In fact ile hela ya Royal Tour ingetumika kwa wasanii wadogo na wakubwa wa ndani ku promote utalii mitandaoni, serikali ingetengeneza ajira na kuvutia watalii vizuri zaidi.
Nadhani kusudio la Royal Tour ni kuvutia utalii wa hadhi ya VVIP ndiyo maana mkuu wa nchi amekuwa muhusika mkuu, si vibaya wasanii, wanamichezo na watanzania kwa ujumla kuitangaza nchi yao kimataifa. Tatizo elimu haitolewi ipasavyo katika kuitangaza nchi yetu kiutalii.
 
Nassib Nassib Nassib!
Mimi kama rafiki yako wa karibu na msanii mwenzio, umefeli pakubwa sana! Acha tu tukunafikie huko insta, kwa sababu tunaupiga mwingi [emoji41][emoji41]
Ila hustahili hata kubaki Tanzania!
 
Kweli waliotuletea hizi Imani walituweza sana..., yaani sasa wewe ushakuwa referee wa imani kwamba nani afanye nini na wapi ?

Na je Hindus wakianza kuja juu kwa kuona kwamba Their Divine Animal (Cow) anafanyishwa kazi ngumu ? Tutafika kweli hapo !!!!
Hii ni hoja tofauti
 
Shaggy Song....

"Church Heathen"

Ah ha, if you take this too serious
Then you really need some church

Them feel say through them go a church their sins
Don't need forgiving, forgiving
Them really gone from bad to worse with them
Your careless living, living

Me ah boy no go church from how long
Rather sleep through the morning and put on a slam
But mi woman she ah pressure me fuh go confession
So mi decide fi go and kill the conversation

So mi sit down right beside sister Pam
Who ah tell me everything about the congregation
'Bout Sister Paulette and her gay husband
And how she ah still ah sleep with the mini bus man

Sister Gwen claim she ah Christian
But ah last night dem catch her in ah stone love session
She a do the dutty dance to de Matterhorn song
And say she get de thing them from the baby cham

Them feel say through them go a church their sins
Don't need forgiving, forgiving
Them really gone from bad to worse with them
Your careless living, living

She all ah tell mi about the one Deacon
Who ah drive the big Benz ah where him get money from
That's why nobody nah want give no collection
Now see the church roof ah leak ah wah him really deh pan

Every Sunday is a competition
Mi see nuff ah dem a gwan like dem in ah name brand
That deh setin' wah she ah wear come out ah some trunk bottom
With deh canfah ball smell dat ah no new fashion

Then she proceed fi talk 'bout dem man dem
Only come ah service fi look church woman
And fi fool up deh gyal talk about religion
But mi could say nothing because mi know mi ah one

Them feel say through them go a church their sins
Don't need forgiving, forgiving
Them really gone from bad to worse with them
Your careless living, living

Next Sunday nah miss me, hear mi
Soap opera can't sweet so, hear mi
Just sight some choir sista, hear mi
Haffi secure mi walk through the Pearly gates

Next Sunday nah miss me, hear mi
Soap opera can't sweet so, hear mi
Just sight some choir sista, hear mi
Haffi secure mi walk through the Pearly gates

Me ah boy no go church from how long
Rather sleep through the morning and put on a slam
But mi woman she ah pressure me fuh go confession
So mi decide fi go and kill the conversation

So mi sit down right beside sister Pam
Who ah tell me everything about the congregation
'Bout Sister Paulette and her gay husband
And how she ah still ah sleep with the mini bus man

Sister Gwen claim she ah Christian
But ah last night dem catch her in ah stone love session
She a do the dutty dance to de Matterhorn song
And say she get de thing them from the baby cham

Them feel say through them go a church their sins
Don't need forgiving, forgiving
Them really gone from bad to worse with them
Your careless living, living

Them feel say through them go a church their sins
Don't need forgiving, forgiving
Them really gone from bad to worse with them
Your careless living, living
 
Huo utamaduni wa hawa wasanii kukimbilia makanisani kufanyia maigizo yao uliletwa na nani?

Kanisa ni nyumba ya ibada, inaheshimiwa na wanaoabudu mahali husika, unapokwenda kufanyia maigizo yako pale kisa kuna fulani aliwahi kufanyia huko haiwezi kuwa defence.

Huyo director wake alikosa sehemu nyingine yoyote ya kufanyia hilo igizo lao? au walichagua kanisani kwasababu wanaamini Kanisani ndio delicate place itawavutia watu kutazama?

Hao watu watakaovutiwa kuona nyumba yao wanayoiheshimu kwa ajili ya ibada zao inafanyiwa maigizo ni watu wa aina gani? wajifunze kuheshimu vitu vya watu, waache kufanya mambo kwa mazoea.

Naamini huu uamuzi wa Basata utakuwa fundisho kwa wajinga wengine waliokuwa na mipango ya aina hiyo. Diamond kama anaona ameonewa na Basata next time akaombe kufanyia maigizo yake msikitini.

Wakulizuia hilo lilikua ni Kanisa na sio BASATA, IKiwa kanisa walirdhia BASATA kiherehere cha nini?
 
Back
Top Bottom