Diamond aisimamisha Qatar na kuweka heshima kwa Africa

Diamond aisimamisha Qatar na kuweka heshima kwa Africa

Ni kweli.
Nyie wabongo wengine mbona mna akili mgando hivyo! Kiwanja kinagaiwaje kwa nchi zingine?!! Kwahyo viwanja vitabebwa na contena kutoka qatar hadi nchi zingine au??😂😂
 
Nini sasa maana vijana wa siku hizi tunalishana matangopori [emoji3] kama kwenye vijiwe vya kahawa siku unaropoka mbele za watu na watu wanakuuliza ulisikia wapi hapo unaanza kujing'ata ng'ata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnoo yaan. Ila kweli ushahidi ni muhimu.
 
Sasa hapa ndio naanza kuamini mashabiki wa muziki hasa kiba na Diamondi wote ni maandazi tu [emoji23][emoji1787][emoji38]


Huyu mwengine anashabikia Diamondi ku trend qatar ka kijinchi kidogo wakati Davido amekuwa included ktk watarishaji mziki kwenye hilo kombe la dunia


Huku wa kina kiba fans wanasema qatar wanavunja viwanja walivyojenga kwa ajili ya kombe la dunia nawaambia walete sources holaaa



Sasa kweli nakosea kuwaita maandazi

Eti cocastic ?[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sikuwezi bhana, uwiiiiiiih
 
Msanii namba moja Africa Diamond Platnumz au mashabiki wake wanapenda kumuita Simba mnyama mkali amekuwa trend namba moja nchini Qatar.

Diamond amefanikiwa kuwa trending namba moja kwenye waandaaji hao wa World Cup akiwa na wimbo wake Watasubiri alomshirikisha malkia wa muziki Africa ya Mashariki yani Zuchu wa Kopa.

Yani kwa kifupi mpka kizazi hiki tunakufa wote hatatokea msanii ataeweza kutrend namba moja Qatar au nchi yoyote nje ya East Africa zaidi ya Diamond lakini wale wenye roho za husda watasema inawezekana so kama inawezekana mwambie msanii wako nae atrend hata nusu saa tu nchi kama Qatar.

Jamani Simba kashindikana fanyeni tu ushabiki kuchangamsha muziki ila huyu jamaa sio binadamu wa kawaida. [emoji23][emoji23][emoji23]

Kwelu anajua ila shida ana nyodo na dharau sisi hatuna shida na yeye tunakula sahan moja na nyodo zake afe kipa afe beki hakuna kukubali hata tuwekewe bunduki kisogoni
 
Naiomba serikali ya mama ianzishe cozi ya uchawa katika ngazi ya certificate diploma na degree maana kuna watu wanavipaji ila hawana vyeti
 
Kwelu anajua ila shida ana nyodo na dharau sisi hatuna shida na yeye tunakula sahan moja na nyodo zake afe kipa afe beki hakuna kukubali hata tuwekewe bunduki kisogoni
Hakuna kitu mtafanya mtaendelea kuteseka na mafanikio yake kila siku.
 
Konde bwoy atampiga chini

"Konde bwoy comi namba one, so much money in the bank Man."
 
Nchi ipo kwenye fukuto kubwa la udini, tunakoenda yale maneno ya mm n Mtanganyika na yule ni Mzanzibar yanaenda kutimia. Nyerere alihazunguza akamaliza na hayupo. Sisi tunaenda kushuhudia utabiri wake
 
Back
Top Bottom