Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unalipa 30% ya faida ndugu yangu jitahidi kutafuta ujuzi badala ya ku-conclude.Unalipwa Bilioni 2.2 alafu unalipa kodi milioni 35...
Hiyo lazima TRA wakuite kuchukua Chao.
Jibu lako linaonesha wewe ni mtu wa aina gani.Kamuulize baba ako Dimond akupe majibu.
Mimi nimenukuu maneno yake mwenyewe.
Mkuu diamond ni mtu mwingine amini hivyo akiingia ofice yoyote lazima afunguliwe mlangombwembwe zinavuka kiwango sasa
eti nao wameweka pozi la picha kabsaa
hapo kafanyiwa examination anadaiwa bilioni hivi ahahaa tra mchezo?Hiyo ndiyo raha ya kupost kila unapopata show[emoji3][emoji3][emoji3]. Lipa kodi kisha tupige selfie. Ila kanuna.
Kwa hiyo asilimia 30 ya bilioni 2.2 ni Milioni 35?!Unalipa 30% ya faida ndugu yangu jitahidi kutafuta ujuzi badala ya ku-conclude.
Hiyo 2.2 bil sii faida ni malipo. Sasa dimond akishatoa huduma husika anatoa gharama zake alizotumia halafu kinachobaki ndio huwa ni faida. Hiyo faida sasa ndio inatolewa 30% kwenda TRAKwa hiyo asilimia 30 ya bilioni 2.2 ni Milioni 35?!
Great Thinker mzima weye?Huyo dada mwenye sketi ya blue anaonesha kabisa kuna kitu moyoni mwake anataka kumwambia Platnumz.
View attachment 473630
Ofisi za serikali zimeendelea kumuandama diamond platnumz Taarifa iliyoanza kutoka Feb 22 na kusambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ni pamoja na hii ya Diamond Platnumz kuitwa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa ajili ya mahojiano mafupi. Kupitia post yake aliyoipost instagram Diamond Platnumz ameandika.
>>Mapema leo nilipo ripoti makao makuu ya TRA baada ya kuitwa ili kuelezea ni namna gani nayapata mapato yangu na namna gani nalipa kodi ya serikali’. Hii itakua ni mara ya pili kwa Diamond Platnumz kuitwa na mamlaka hiyo,mara ya kwanza ilikua mwaka mmoja uliopita ambapo Mamlaka hiyo ya Mapato ilimkadiria kodi ambayo Diamond alitakiwa kulipa na kwa bahati nzuri Diamond Platnumz aliilipa hiyo pesa.
TRA wameishiwa hoja .. kwa hio daimondi ndio chanzo chao kikuu cha mapato?View attachment 473630
Ofisi za serikali zimeendelea kumuandama diamond platnumz Taarifa iliyoanza kutoka Feb 22 na kusambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ni pamoja na hii ya Diamond Platnumz kuitwa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa ajili ya mahojiano mafupi. Kupitia post yake aliyoipost instagram Diamond Platnumz ameandika.
>>Mapema leo nilipo ripoti makao makuu ya TRA baada ya kuitwa ili kuelezea ni namna gani nayapata mapato yangu na namna gani nalipa kodi ya serikali’. Hii itakua ni mara ya pili kwa Diamond Platnumz kuitwa na mamlaka hiyo,mara ya kwanza ilikua mwaka mmoja uliopita ambapo Mamlaka hiyo ya Mapato ilimkadiria kodi ambayo Diamond alitakiwa kulipa na kwa bahati nzuri Diamond Platnumz aliilipa hiyo pesa.
Hao hawana kazi nao wameanza comedy kma pogba mpka 2019 tutaona mengi sana ya ajabuView attachment 473630