Diamond aitwa TRA kuhojiwa

Diamond aitwa TRA kuhojiwa

Hiyo ndiyo raha ya kupost kila unapopata show[emoji3][emoji3][emoji3]. Lipa kodi kisha tupige selfie. Ila kanuna.
 
Ukimuona baba anaanza kuuliza watoto kwa nini hawachangii gharama za nyumbani ujuwe hali siyo shwari katika familia mwishoe utawambia na wakike wakajiuze ili mradi walete kitu nyumbani baba wa hivyo anakuwa ameishiwa mipango, kuna akina Almasi wangapi ambao tunaweza kusema tujielekeze huko ili kupata kodi ya kuendesha nchi? na je huyu mmoja atadumu kwa muda gani katika fani hii ili tuendelee kupata mapato kutoka kwake? Wataalamu kaeni mje na mipango, mbinu na mikakati namna gani tutaendesha nchi siyo kukimbizana na wauza vitumbua kama alivyowahi kusema hayati Baba wa Taifa!
 
Walimuita ili wapige nae picha coz wale wengine waliga wskapost then ikatrend na wao wakapata kick!! Hivyo nao wameona watumie fursa hiyo!
 
Ina maana TRA si waweke kodi anayodaiwa na aliyolipa?

Mbona ya Mbowe sijui Bills ,Aishi hotel waliweka?

Mi naona hii nchi ninzaidi ya Kansiime na Erick Omondi,hamna jipya mpaka kwa wasomi!

Sijui tunawlekea wapi,gari injini mbele dereva kakaa nyuma!
 
Mwendo wa kukalanga foto tu, maana kwenye show huwa unatupita tu hutapagi hi wewe
 
Hahaaa wamemuita kupata tu selfie kama kamanda Mpinga vile! Tangu lini TRA wanapiga picha na mteja?!
 
Na kina mwafulani wanaojipambanisha nae kibakuli waitwe sasa watoe kodi
 
Kwa hiyo asilimia 30 ya bilioni 2.2 ni Milioni 35?!
Hiyo 2.2 bil sii faida ni malipo. Sasa dimond akishatoa huduma husika anatoa gharama zake alizotumia halafu kinachobaki ndio huwa ni faida. Hiyo faida sasa ndio inatolewa 30% kwenda TRA
 
View attachment 473630

Ofisi za serikali zimeendelea kumuandama diamond platnumz Taarifa iliyoanza kutoka Feb 22 na kusambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ni pamoja na hii ya Diamond Platnumz kuitwa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa ajili ya mahojiano mafupi. Kupitia post yake aliyoipost instagram Diamond Platnumz ameandika.

>>Mapema leo nilipo ripoti makao makuu ya TRA baada ya kuitwa ili kuelezea ni namna gani nayapata mapato yangu na namna gani nalipa kodi ya serikali’. Hii itakua ni mara ya pili kwa Diamond Platnumz kuitwa na mamlaka hiyo,mara ya kwanza ilikua mwaka mmoja uliopita ambapo Mamlaka hiyo ya Mapato ilimkadiria kodi ambayo Diamond alitakiwa kulipa na kwa bahati nzuri Diamond Platnumz aliilipa hiyo pesa.

TRA wameishiwa hoja .. kwa hio daimondi ndio chanzo chao kikuu cha mapato?
hapo ukute kuna misamaha ya kodi kweny migodi huko
 
Nauliza tena nani amemwomba mwezie apige nae picha,akitoka hapo sijui ataenda wapi tena
 
View attachment 473630

Ofisi za serikali zimeendelea kumuandama diamond platnumz Taarifa iliyoanza kutoka Feb 22 na kusambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ni pamoja na hii ya Diamond Platnumz kuitwa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa ajili ya mahojiano mafupi. Kupitia post yake aliyoipost instagram Diamond Platnumz ameandika.

>>Mapema leo nilipo ripoti makao makuu ya TRA baada ya kuitwa ili kuelezea ni namna gani nayapata mapato yangu na namna gani nalipa kodi ya serikali’. Hii itakua ni mara ya pili kwa Diamond Platnumz kuitwa na mamlaka hiyo,mara ya kwanza ilikua mwaka mmoja uliopita ambapo Mamlaka hiyo ya Mapato ilimkadiria kodi ambayo Diamond alitakiwa kulipa na kwa bahati nzuri Diamond Platnumz aliilipa hiyo pesa.
Hao hawana kazi nao wameanza comedy kma pogba mpka 2019 tutaona mengi sana ya ajabu
 
Kwani mlipa kodi waga ni domo peke yake..!? mbona wasani wengine sijawai kusikia wakitwa
 
Back
Top Bottom