Diamond alipaswa kulala ndani na kushtakiwa kwa kufanya fujo uwanja wa ndege

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Ni ajabu na ajabu kweli.

Sheria za uwanja wa ndege wowote ni pamoja na kutofanya fujo na kudivert attention kwenye uwanja wa ndege.

Diamond jana amefanya fujo ikiwa ni pamona na kurekodi video bila ruhusa ya mamlaka husika, kupiga kelele na kuhamisha utulivu.

Nchi masikini kama zetu haziendelei kwa sababu ya u-double standard wa watendaji wa serikali, Diamond alipaswa kua ndani kuanzia jana na leo alitakiwa apelekwe mahakamani.

Tuache kubembelezana na kuoneana aibu, kwa mtindo huu maendeleo tutaendelea kuyaona CNN na BBC.
 
Alikurekodi wewe?!??
 
Maendeleo tutaendelea kuyaona CNN kwa sababu kwa wenzetu hakuna huo upuuzi wa kuuza ticket ya mtu bila maelezo
Acha ushamba.

Tiketi ya ndege hua haiuzwi kama tiketi ya daladala.

Muda wa kuchek in ukiisha wewe hujafika hua tiketi inauzwa maana haupo na ndege siti iko wazi na kuna mtu anaihitaji.

Achana na stori za kwenye vijiwe, panda ndege siku moja ujifunze.
 
Just Stupid!! Don't try act like you know everybody.. Unanijua? FYI I am frequent flyer with two flagships!

Ficha upumbavu wako na sio werevu wako! pathetic
 
Umeongea kweli tupu. Haya mambo ya kuishi kwa mazoea ni mabaya sana
 
Kwa iyoo mkuu wew ndio yule uliyekuwa unachukuliwa video na diamond??? au unaandika humu kutafuta kik....
 
Kwani ilikuaje Mkuu?

Sema yule jamaa mswahili mswahili sana itakua kazingua.

Ila kabla ya kumjudge iyo video iko wapi
 
What is this blaaa blaaaa... Some vague pathetic rants?? Amekupiga picha who are you?? What happened???
 
Una muda gani hujaenda mafunzo ya Huduma kwa Mteja ? Sitarajii kupata majibu ya aina hii kutoka kwa mtu wa Aviation maana hiyo industry ni kama tourism. By the way, unapaswa kufukuzwa kazi, mtumishi wa umma uko pale kuhudumia watu wa aina tofauti tofuati sio kujihudumia wewe na kuja kujisifu kuwa umerekodiwa bila ridhaa yako, kwani hapo ulikuwa chmubani kwako ? Kama unaona hukutendewa haki, nenda mahakamani kutafuta haki yako.
 
Huyu jamaa siku akiishiwa kiki atakunya kariakoo
 
Just Stupid!! Don't try act like you know everybody.. Unanijua? FYI I am frequent flyer with two flagships!

Ficha upumbavu wako na sio werevu wako! pathetic
Sheria ziko wazi hapa kama kachelewa check in na imefungwa ni sawa tu mimi mwenyewe nilishawahi kuachwa na Qatar sababu tu desk wamefunga japo kuwa ndege haijaondoka niliomba nilitamani mpaka kulia na sura ya yatima lakini wapi nikapigwa stop. Nikajifunza kitu siku hiyo. Kawaida ya ndege kuna waiting list watu wanaenda mapema asipotokea mtu anapewa nafasi sio ticket hiyo ni sehemu zote ndio system. Hapa tulitakiwa kujuwa je alifika wakati check in desk imefungwa? ikiwa yes basi ATCL hawana makosa na waliosambaza video waombe msamaha maana unaharibu jina ka kampuni hiyo unaweza kwenda mahakamani kama watu wako serious. Kama desk lilikuwa wazi then mteja aombwe msamaha na fidia ya siku.
 
Just Stupid!! Don't try act like you know everybody.. Unanijua? FYI I am frequent flyer with two flagships!

Ficha upumbavu wako na sio werevu wako! pathetic
hahahaha inamaana kwamba hawa wa panda ndege hizi za ndani (wanaofungaga mabox na kamba za katani) wamezoea upuuzi mpaka wamejionea ndio taratibu mpaka kutaka kuzi internationalize??
 
Nakubaliana na wewe 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…