The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Ni ajabu na ajabu kweli.
Sheria za uwanja wa ndege wowote ni pamoja na kutofanya fujo na kudivert attention kwenye uwanja wa ndege.
Diamond jana amefanya fujo ikiwa ni pamona na kurekodi video bila ruhusa ya mamlaka husika, kupiga kelele na kuhamisha utulivu.
Nchi masikini kama zetu haziendelei kwa sababu ya u-double standard wa watendaji wa serikali, Diamond alipaswa kua ndani kuanzia jana na leo alitakiwa apelekwe mahakamani.
Tuache kubembelezana na kuoneana aibu, kwa mtindo huu maendeleo tutaendelea kuyaona CNN na BBC.