Diamond alivyompata Mimi Mars ni kama watu wanaonunua bidhaa online na kuletewa wanapoishi!

Status
Not open for further replies.
Kumbe nimeamini akili ya wanaume ilipo

Kumbe wanahisi kila mwanamke akiona mwanaume ana hela basi kila mwanamke anamtaka[emoji849][emoji849][emoji15] haya ni maajabu asee

Hawajui kuwa na sisi tuna preference zetu mweeeh[emoji848]
 
Usitusemelee mkuu sio wote

Narudia tena kwa msisitizo sio wanawake wote tuko hivyo

Mimi ninaongea haya nikiwa na experience + vivid examples, tena kwa wanaume wenye pesa huyo Domo anasubiri mara 1000
Sikuongelei vibaya ila so far mwanaume kama Uchebe akikufuata fundi gereji flani unaweza kumpa chance ya kuwa nae kimapenzi? Au mwanaume anaebrashi viatu tu mkono uende kinywani? Au hata muuza maji tu barabarani?

Okay, tusiende mbali...kijana tu ambaye yupo jobless. Pengine ni graduate tu.

Just kuwa honest unaweza date na hao walioainishwa against kijana mwenye pesa kama diamond!
 
Mimi nashangaa wanaovulia chupi Hadi kumzalia watoto kabisa I thought zari was smart enough kumbe na yeye walewale tu anakuwa umri tena kamzalia chap chap ili amkamate, tena Bora sikuhizi huyo diamond kiki zake za wanawake na kuzalilisha watu wamezichoka na kuona kawaida.
Na hao wanaume wanafikiria pesa ni kila kitu kwetu sisi wanawake wanakosea Sana life is more than fame and money
 
Kama roho yangu imempenda why not?[emoji849][emoji849][emoji15]

Mkuu we unashangaza sana, mapenzi ya kweli hayaangalii hela

Refer babu seya kisa cha yeye kutaka kuozea gerezani utaelewa namaanisha nini
 
Kumbe nimeamini akili ya wanaume ilipo

Kumbe wanahisi kila mwanamke akiona mwanaume ana hela basi kila mwanamke anamtaka[emoji849][emoji849][emoji15] haya ni maajabu asee

Hawajui kuwa na sisi tuna preference zetu mweeeh[emoji848]
Wanaume wa sasa hawajui mapenzi na ndio maana wanashangaa mwanaume tajiri anachitiwa na mkewe maana mtu akiwa na hela anajua ndio hitaji la mwanamke no wonder mwanamke anaweza mwacha mwenye range akamfata mwenye Toyo simply kwa sababu ana msikiliza
 
kwahiyo dai kesha pata slave mpya
 
Wanaume wa sasa hawajui mapenzi na ndio maana wanashangaa mwanaume tajiri anachitiwa na mkewe maana mtu akiwa na hela anajua ndio hitaji la mwanamke no wonder mwanamke anaweza mwacha mwenye range akamfata mwenye Toyo simply kwa sababu ana msikiliza
Hapa naona mnamaanisha kwamba unachotaka ni mikazo tu sio pesa
Unafaa sana Nina kibanda kimoja

Utanikubali? No way haiwezekani
 
Wanaume wa sasa hawajui mapenzi na ndio maana wanashangaa mwanaume tajiri anachitiwa na mkewe maana mtu akiwa na hela anajua ndio hitaji la mwanamke no wonder mwanamke anaweza mwacha mwenye range akamfata mwenye Toyo simply kwa sababu ana msikiliza
Usisahau nguvu za kuwa na mwenye toyo zinakuja kutoka kwa yule mwenye fedha. Katika scenario Kama hiyo, akiachika kwa huyu mwenye fedha automatically ataachika kwa huyo mwenye toyo pia.

NB:Mapenzi sio pesa, Ila pesa ni kichocheo.
 
Wanaume wa sasa hawajui mapenzi na ndio maana wanashangaa mwanaume tajiri anachitiwa na mkewe maana mtu akiwa na hela anajua ndio hitaji la mwanamke no wonder mwanamke anaweza mwacha mwenye range akamfata mwenye Toyo simply kwa sababu ana msikiliza
Wanajua sema kujitoa ufahamu tu
 
Usisahau nguvu za kuwa na mwenye toyo zinakuja kutoka kwa yule mwenye fedha. Katika scenario Kama hiyo, akiachika kwa huyu mwenye fedha automatically ataachika kwa huyo mwenye toyo pia.
Si kweli wanawake tunapenda wanaume wanaotujali hisia zetu na kutusikiliza ingawa hela muhimu Ila ukiwa na mtu na mijihela yake hakusikilizi ni rahisi kumwacha aisee.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…