Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Hapana mapenzi ya sasa bila pesa hayanogi.Usitusemelee mkuu sio wote
Narudia tena kwa msisitizo sio wanawake wote tuko hivyo
Mimi ninaongea haya nikiwa na experience + vivid examples, tena kwa wanaume wenye pesa huyo Domo anasubiri mara 1000
Umeona shilole alivyomuaibisha uchebe kisa ni nini? Pesaaa