Diamond alivyompata Mimi Mars ni kama watu wanaonunua bidhaa online na kuletewa wanapoishi!

Status
Not open for further replies.
Aisee asithubutu kabisa, aangalie mlolongo wa single moms walioachwa na huyo Diamond atulie tu.
mkuu usiwaone wajinga walozaa na mondi, hao tayari washaweka asset ya kesho kupitia watoto zao, yaani wale watoto wa mondi wote ni ma-star wa kesho hata kama hawatakua wasanii, sidhani hata wewe ukipata nafasi ya kukojolewa na huyu bwana kama unaeza kukataa
 
Umejuaje kama ni mdada???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama ni mwanaa jeee...
 
whats ur type!?..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…