lukubuzo Samsis
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 2,920
- 3,388
Whozu hana kitu anawategemea kaka yake Frank Knows na Fred Vunjabei.Hahahaha sio kwamba hana pesa, Whozu ana utoto mwingi bado still ana akili za kibishoo. Sio kila demu anaangalia hela tu kuna factor zingine wanazingatia