lukubuzo Samsis
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 2,920
- 3,388
Whozu hana kitu anawategemea kaka yake Frank Knows na Fred Vunjabei.Hahahaha sio kwamba hana pesa, Whozu ana utoto mwingi bado still ana akili za kibishoo. Sio kila demu anaangalia hela tu kuna factor zingine wanazingatia
I know myself on my mind dearwhats ur type!?..
Hahaaa niache tu as long as na Mimi I'm not perfectNdo utufahamishe, u seem u know what we dont know
si ana duka lakiniWhozu hana kitu anawategemea kaka yake Frank Knows na Fred Vunjabei.
Alaa kumbe!?.. by the way hilo ni kosa!?Whozu hana kitu anawategemea kaka yake Frank Knows na Fred Vunjabei.
interesting,I know myself on my mind dear
Post pendwa za warumi hizi.Wasalaam wana Jamvi!
Baada ya mwana muziki bora kabisa Tanzania kumsifia mdogo wa mwanamuziki Vannesa Mdee hivi karibuni kwenye ukurasa wake wa instagram “ haka katoto nakapendaga basi tuu”.
Baada ya hayo maneno ya on line unaambiwa ni kama Diamond aliagiza vile bidhaa on line hivyo alicho subiri ni kufikishiwa mzigo huo nyumbani ili aulipie....
Baada ya siku mbili ilibidi Aristote ahakikishe Bidhaa hiyo inafika nyumbani salama kabisa!
Diamond hakikisha na huyu binti una mnunulia gari au nyumba sio zawadi ya mtoto tuu....
Hongera sana Mimi Mars!
mkuu mwanaume timamu kichwani ni yupi?Diamond sio hadhi yangu kwa kweli namwona mjingajinga hivi flani pia Mimi staki umaarufu wa uzinifu yeye aendelee na hao kina mobeto ndio hadhi yake kwa kweli how can I date a tandale boy, mimi napenda wanaume timamu kichwani so diamond is not my type
Yan unamuonea huruma mtoto wa kike kumegwa na mwana.uko sawa kwelHela+Plus umaarufu=Ulimbo wa walembo.
Ila dah na muonea huruma Mimi Mars sizani kama atabaki salama.
Wewe tafuta hela watakuja wenyewe hutumii nguvu.
Sio kosa bt huwezi kusema una hela.Alaa kumbe!?.. by the way hilo ni kosa!?
we kweli mzushi flani babu🤣nimepitia comment zote.. na nitarudi tena.. anyway anaesema uyo mimi mars ni malaya atuelezee basi.. maana hata mimi nlikua namvizia mida tu, sema ni vile pesa zangu zipo kichwani tu sio mfukoni
Anarusha kipindi tu huyo, wanawake wote wa mjini wanataka wanaume wenye hela. Kwa privacy huyu anaitwa kwenye private boat ya dollar 1200 tu. Anapangwa Don Fumbwe amlete anafatwa na dereva wa V8 alipo huko na analetwa.mkuu mwanaume timamu kichwani ni yupi?
Atakimbia mpaka sket itapanda kwa juuSema Cariha hajapata tu fursa ya kuwa connected na Domo
Si anasema hapa tu mkuu,akiitishwa kwenye BMW X 6 aende mjengoni unadhani atachomoka,inamaana akina joket ni hadhi ya chini?whats ur type!?..
Au amsindikize kenya tu kwenye show fulani hivi,kwanza hatalala hiyo sikuAnarusha kipindi tu huyo, wanawake wote wa mjini wanataka wanaume wenye hela. Kwa privacy huyu anaitwa kwenye private boat ya dollar 1200 tu. Anapangwa Don Fumbwe amlete anafatwa na dereva wa V8 alipo huko na analetwa.
Yani analika vizuri tu asikuchosheni, hamna mwanamke wa kichaga asiyependa pesa au mwanaume mwenye life. Tena anaweza chilwa na asipewe hata sumni akatulia zake just for fame
Hata huyo mimi mars alikataa kuwa hawez gongwa na wasanii ila ndio hao hao wanamchilla
Mbona kama una tesekaDiamond sio hadhi yangu kwa kweli namwona mjingajinga hivi flani pia Mimi staki umaarufu wa uzinifu yeye aendelee na hao kina mobeto ndio hadhi yake kwa kweli how can I date a tandale boy, mimi napenda wanaume timamu kichwani so diamond is not my type
hahaaaaaa... mkuu mi kwa nlivomuelewa cariha ni kua ana "woman's pride" kwa wanawake hcho kitu ni cha kawaida na wana ki value, ndo maana anachokifanya mwenzie yy anaona utopolo japo yy pia anaweza kukifanya kwa wakati tofauti ila kwa kisingizio cha "i have my reasons".Si anasema hapa tu mkuu,akiitishwa kwenye BMW X 6 aende mjengoni unadhani atachomoka,inamaana akina joket ni hadhi ya chini?
Yaani huyo hata ukimwambia Mo akikutaka utampa au haumpi atakanusha vibaya sana,huku kimoyo moyo akisema huyu si afanye kwelihahaaaaaa... mkuu mi kwa nlivomuelewa cariha ni kua ana "woman's pride" kwa wanawake hcho kitu ni cha kawaida na wana ki value, ndo maana anachokifanya mwenzie yy anaona utopolo japo yy pia anaweza kukifanya kwa wakati tofauti ila kwa kisingizio cha "i have my reasons".