Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Woman's pride wapi mzee huyu manzi me huwa namtrack kwenye nyuzi kibao anaponda wanaume watafutaji leo kaja kivingine kuwa eti diamond sio type yake.... Sasa najiuliza yeye type yake hasa ni ipi.hahaaaaaa... mkuu mi kwa nlivomuelewa cariha ni kua ana "woman's pride" kwa wanawake hcho kitu ni cha kawaida na wana ki value, ndo maana anachokifanya mwenzie yy anaona utopolo japo yy pia anaweza kukifanya kwa wakati tofauti ila kwa kisingizio cha "i have my reasons".
Maaana wanaume watafutaji anakwambia hawafai, haya diamond ana hela nae hafai... So yeye type yake ni ipi, au ni lesbian huyu dada....?!