Amos David Mathiasii
Member
- Sep 4, 2022
- 87
- 148
Mafanikio ya SHETANI tatizo sio ya Bure utalipia HASA roho yakoMafanikio yanatoka kwa shetani tu?
Kama Mungu wenu mnayemuabudu hatoi mafanikio mnamuabudu wa nini sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mafanikio ya SHETANI tatizo sio ya Bure utalipia HASA roho yakoMafanikio yanatoka kwa shetani tu?
Kama Mungu wenu mnayemuabudu hatoi mafanikio mnamuabudu wa nini sasa?
Mafanikio ya SHETANI tatizo sio ya Bure utalipia HASA roho yako
Mafanikio yanatoka pia kwa MUNGU lakini Huyo jamaa ana uutajiri sio wa kawaida Mungu anakupa kinachokutosha kingine anakuwekea AKIBA mbinguni huwezi ukapewa utajiri mkubwa usio na faida. Jamaa utajiri kama huo mwisho wa SIKU LAZIMA uhisi wa kishetani . Angalia hiyo mipete anayovaa kwanini havui.Hujajibu swali, mafanikio yanatoka kwa shetani tu?
Kwahiyo Pete ndio shida mbona hata Kiba anayo lakini hana mafanikio hata nusu ya diamondMafanikio yanatoka pia kwa MUNGU lakini Huyo jamaa ana uutajiri sio wa kawaida Mungu anakupa kinachokutosha kingine anakuwekea AKIBA mbinguni huwezi ukapewa utajiri mkubwa usio na faida. Jamaa utajiri kama huo mwisho wa SIKU LAZIMA uhisi wa kishetani . Angalia hiyo mipete anayovaa kwanini havui.
Imani ya kichawi na Watanzania ni maji na churaWasanii wakubwa tena wakongwe wanalalamika mziki wa bongo fleva haulipi k.v Chidi benz, Veemoney na Dudubaya, Diamond amewezaje kupata hela hadi ya kununua rolls royce na kulipa bodyguards? Diamond anafahamika hadi Nigeria, Na Afrika nzima, hakuna msanii wa kibongo anayefahamika kama Diamond.
Kama Diamond anatumia uchawi kufanikiwa, mbona wasanii wengine Wakubwa wa bongo fleva Wanaoaminika kutumia uchawi, kama kina Jide na Kiba hawajafanikiwa kama Diamond? Kiumaarufu na kipesa? Pamoja kwamba Diamond ni mpambanaji mwenye bidii, Diamond anatoaga kafara gani la kichawi?
Mafanikio yanatoka pia kwa MUNGU lakini Huyo jamaa ana uutajiri sio wa kawaida Mungu anakupa kinachokutosha kingine anakuwekea AKIBA mbinguni huwezi ukapewa utajiri mkubwa usio na faida. Jamaa utajiri kama huo mwisho wa SIKU LAZIMA uhisi wa kishetani . Angalia hiyo mipete anayovaa kwanini havui.
Alfu Kuna wakristo wamekupa like hapo ktk comment yako mungu wa juu mbinguni utasamehe sis wakozefu sas na saa ya kufa kwetu Ni hatari sna kuamini kuwa mungu hayupo wkt pumzi tu hii ya uhai ni yake yey Bado unabisha hakika mungu utusamhe nisamhe mm na ninatubua kwa ajili yake aliyediriki kubeza uwepp na uweza wakoMafanikio yanatoka kwa shetani tu?
Kama Mungu wenu mnayemuabudu hatoi mafanikio mnamuabudu wa nini sasa?
Mungu akiamua kukupa anakupa vyote na awezi I kutupa watu wote utajiri kila mmoja amempa kinachostaili Ni juhud na maarifa yako ndio ujiongezee mm siami Kama jamaa anatumia nduma kupiga pesa coz pesa zenyewe Hana Kuna kina jack mo na tajiri wa amozon na yule aliyenunua Twitter sas hao utasemaje hkn kitu Kama hcho juhud na maarifa zinalipa sanaWasanii wakubwa tena wakongwe wanalalamika mziki wa bongo fleva haulipi k.v Chidi benz, Veemoney na Dudubaya, Diamond amewezaje kupata hela hadi ya kununua rolls royce na kulipa bodyguards? Diamond anafahamika hadi Nigeria, Na Afrika nzima, hakuna msanii wa kibongo anayefahamika kama Diamond.
Kama Diamond anatumia uchawi kufanikiwa, mbona wasanii wengine Wakubwa wa bongo fleva Wanaoaminika kutumia uchawi, kama kina Jide na Kiba hawajafanikiwa kama Diamond? Kiumaarufu na kipesa? Pamoja kwamba Diamond ni mpambanaji mwenye bidii, Diamond anatoaga kafara gani la kichawi?
Alfu Kuna wakristo wamekupa like hapo ktk comment yako mungu wa juu mbinguni utasamehe sis wakozefu sas na saa ya kufa kwetu Ni hatari sna kuamini kuwa mungu hayupo wkt pumzi tu hii ya uhai ni yake yey Bado unabisha hakika mungu utusamhe nisamhe mm na ninatubua kwa ajili yake aliyediriki kubeza uwepp na uweza wako
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Imani ya kichawi na Watanzania ni maji na chura
Stori za mtaani na vijiwe vya kahawa ni kwamba jamaa ni filiimathoni kitengo cha bones and skulls. Ofisi yake ina vinyago vya mafuvu na mifupa.Ndio maana anavaa mapete/macheni yenye mifupa na mafuvu. Nenda kagugo bones and skull secret society
Duh kwa hiyo na Bwana Bilgates, Elon Musk, Ambhan, na wale mabilionea wote wamepata kupitia shetani?
Maana diamond sio bilionea kwa kipimo cha kimataifa.
Tuache fikra potofu, tupambane
Dah! Diamond hadi wewe una mambo haya kweli mwigulu ajakosea kuweka TozoKuroga jamaa anaroga kinyama , hata huko kwenye ufree mason yupo vizur , sema makafara yanaendana pia na juhudi , hakuna muujiza mahali pa wajibu, jamaa anafanya wajibu wake Ila pia ana booster ya hatari ,na nyota pia inachangia
Kwamba Diamond ni freemason? 🤣🤣Kuroga jamaa anaroga kinyama , hata huko kwenye ufree mason yupo vizur , sema makafara yanaendana pia na juhudi , hakuna muujiza mahali pa wajibu, jamaa anafanya wajibu wake Ila pia ana booster ya hatari ,na nyota pia inachangia
Watoto wadogo hao.sinza pazuri unahusika hapa😃😃 nikuachie jamaa zako