Diamond amempa nini shetani mpaka kapata pesa nyingi sana na umaarufu wote huo?

Hujajibu swali, mafanikio yanatoka kwa shetani tu?
Mafanikio yanatoka pia kwa MUNGU lakini Huyo jamaa ana uutajiri sio wa kawaida Mungu anakupa kinachokutosha kingine anakuwekea AKIBA mbinguni huwezi ukapewa utajiri mkubwa usio na faida. Jamaa utajiri kama huo mwisho wa SIKU LAZIMA uhisi wa kishetani . Angalia hiyo mipete anayovaa kwanini havui.
 
Kwahiyo Pete ndio shida mbona hata Kiba anayo lakini hana mafanikio hata nusu ya diamond
 
Imani ya kichawi na Watanzania ni maji na chura
 

Mungu wenu inaonekana anazidiwa nguvu kama ni hivyo yani mtu apambane afu humpi matunda yake unasema mbinguni!
 
Mafanikio yanatoka kwa shetani tu?

Kama Mungu wenu mnayemuabudu hatoi mafanikio mnamuabudu wa nini sasa?
Alfu Kuna wakristo wamekupa like hapo ktk comment yako mungu wa juu mbinguni utasamehe sis wakozefu sas na saa ya kufa kwetu Ni hatari sna kuamini kuwa mungu hayupo wkt pumzi tu hii ya uhai ni yake yey Bado unabisha hakika mungu utusamhe nisamhe mm na ninatubua kwa ajili yake aliyediriki kubeza uwepp na uweza wako
 
Mungu akiamua kukupa anakupa vyote na awezi I kutupa watu wote utajiri kila mmoja amempa kinachostaili Ni juhud na maarifa yako ndio ujiongezee mm siami Kama jamaa anatumia nduma kupiga pesa coz pesa zenyewe Hana Kuna kina jack mo na tajiri wa amozon na yule aliyenunua Twitter sas hao utasemaje hkn kitu Kama hcho juhud na maarifa zinalipa sana
 

Mungu gani Jehovah, Allah, Bahai, Ik Onkar, Xwede, Jesus na wengine wengi. Ni yupi unamuongelea?
 
Ukipata jibu uniambie nasi tujipange maana utajiri muhimu sana [emoji2972]
 
Stori za mtaani na vijiwe vya kahawa ni kwamba jamaa ni filiimathoni kitengo cha bones and skulls. Ofisi yake ina vinyago vya mafuvu na mifupa.Ndio maana anavaa mapete/macheni yenye mifupa na mafuvu. Nenda kagugo bones and skull secret society

Sasa hao Freemasonry wanakupa pesa bure?
 
Duh kwa hiyo na Bwana Bilgates, Elon Musk, Ambhan, na wale mabilionea wote wamepata kupitia shetani?
Maana diamond sio bilionea kwa kipimo cha kimataifa.
Tuache fikra potofu, tupambane

Neno [emoji3]
 
Kuroga jamaa anaroga kinyama , hata huko kwenye ufree mason yupo vizur , sema makafara yanaendana pia na juhudi , hakuna muujiza mahali pa wajibu, jamaa anafanya wajibu wake Ila pia ana booster ya hatari ,na nyota pia inachangia
 
Kuroga jamaa anaroga kinyama , hata huko kwenye ufree mason yupo vizur , sema makafara yanaendana pia na juhudi , hakuna muujiza mahali pa wajibu, jamaa anafanya wajibu wake Ila pia ana booster ya hatari ,na nyota pia inachangia
Dah! Diamond hadi wewe una mambo haya kweli mwigulu ajakosea kuweka Tozo
 
Diamond Platinumz Ni mtu mpambanaji Sana kiutaftaji, kila mtu anajua hilo, strategies zake sio za mchezo jamaa anajituma Sana.

Tatizo watu hawanaga aliko toka mtu mpaka kuja kufikia hatua aliyofikia Sasa.Diamond alitoka mbali Sana kiukweli,enzi hizi alikuwa anaiba mikufu ya mamake na kwenda kuiuza I'll apate hela ya kwenda studio kurekodi wimbo.
Kuna wakati alienda sehemu kupiga show akajifanya yeye nI Z-Antony akaperform wimbo wa Binti Kiziwi coz huu wimbo ulikuwa anthem kipindi kile,na watu waliamini kuwa yeye Ni Z- Antony kumbe Wala.

Mondi amepitia mengi Sana mwacheni ale bata na kutanua.
 
Kuroga jamaa anaroga kinyama , hata huko kwenye ufree mason yupo vizur , sema makafara yanaendana pia na juhudi , hakuna muujiza mahali pa wajibu, jamaa anafanya wajibu wake Ila pia ana booster ya hatari ,na nyota pia inachangia
Kwamba Diamond ni freemason? 🤣🤣

Kweli nchi ina wajinga wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…