Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
mkuu pigeni ngoma za Harmonize please.Kama uangalii kwanini unasema ngoma za Harmonize hazipigwi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu pigeni ngoma za Harmonize please.Kama uangalii kwanini unasema ngoma za Harmonize hazipigwi?
Nimesikia wimbo wa wife ft Jay deeWasafi Tv ni muda kidogo lakini wasafi Fm toka Harmonize kaondoka kwenye lebo waliacha kupiga nyimbo zake.....Lini umesikia wimbo wa Harmonize wasafi hasa hizi za kwenye Album
Sent from my iPhone using Tapatalk
Mtoa mada kaingia choo Cha kike diamond hajawahi kulalamika kutopigwa ngoma zake Bali alitoa ufafanuzi kwanini hizo redio hawapigi nyimbo zake.
Wangapi wamempita kimziki? Na ngoma zao zimefika wapi kushinda za mond?Kila kitu kina wakati wake, kwa sasa Diamond akalie kutangaza na kupromote nyimbo zake tu....kimuziki hana issue tena, kapitwa na watu wengi sana watoto.
Nipe video diamond analalamika ngoma zake hazipigwi?Diamond amekuwa akilalamika kupitia mameneja wake kila leo
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hapana haiwepo hivyo. Kwann wasafi wafosi kwa kiba lakini wasifosi kwa harmonize. Hivi msanii km Drake analetaga nyimbo wasafi mbn anapiga nyimbo zake.. Diamond ameamuwa kuwa Ruge na yeye.
tupe video inayoonyesha nyimbo ya konde boy inapigwa wasafi Tv.Nipe video diamond analalamika ngoma zake hazipigwi?
Wangapi wamempita kimziki? Na ngoma zao zimefika wapi kushinda za mond?
Kwani thread inazungumzia wasafi wanapiga nyimbo za hamo?Kama uangalii kwanini unasema ngoma za Harmonize hazipigwi?
Unasema ngoma zinapigwa sio sana we unajua kipindi Mond analalamika kuwa nyimbo zake hazipigwi kwenye radio flani si zilikua zinapigwa ila sio sana halafu unasema umesikia kwenye kipindi hicho tu acha kutetea ujinga hao wote ni wasanii na sisi ndio wasikilizaji tunajua kabisa kuwa Mond hachezi nyimbo za Harmo basi mana yake ameshindwa kukwepa mtego wa mwenzie aliyekuwa anamlalamikiaWewe umeongea bila kufanya research ngoma zake zinapigwa Ila sio Sana Jana tu kwenye kipindi cha shootout Cha wasafi tv ngoma yake ya uno imepigwa.
Clouds wakifanya haya mbona uwa mnawatukana ndiyo maana nasema aliyesema binadamu wote ni sawa alidanganya
Mfalme kwa upande wako ila sio kwa wengi.Mimi naona Harmonize ndio mfalme mpya wa bongo flava kiba na mond muda wao umekwisha.
Clouds wakifanya haya mbona uwa mnawatukana ndiyo maana nasema aliyesema binadamu wote ni sawa alidanganya
Unasema ngoma zinapigwa sio sana we unajua kipindi Mond analalamika kuwa nyimbo zake hazipigwi kwenye radio flani si zilikua zinapigwa ila sio sana halafu unasema umesikia kwenye kipindi hicho tu acha kutetea ujinga hao wote ni wasanii na sisi ndio wasikilizaji tunajua kabisa kuwa Mond hachezi nyimbo za Harmo basi mana yake ameshindwa kukwepa mtego wa mwenzie aliyekuwa anamlalamikia
Diamond hajapiga marufuku nyimbo ya msanii yoyote kuchezwa Wasafi Fm acha kupotosha. Harmonize ndio hataki nyimbo zake zichezwe Wasafi media wala hataki any interview na Wasafi. Tangu atoke Wasafi hajawai peleka nyimbo yake ipigwe pale Wasafi ndio maana unaona nyimbo za nyuma zipo zinapigwa sana tu.
Kuna wasanii wanataka kuitia ubaya Wasafi media so wanazuia kiaina content zao ziende pale mwingine ni Kiba, sema kwa Kiba Wasafi wameamua kufosi tu ili kuondoa picha ya ubaya.
Alaf kuna mtu anakuja aseme mawingu Ndo wanapenda bifu na kina jeje
god is good
Nasikiliza wasafi 24/7 hakuna nyimbo ya Harmonize inapigwa. Iwe ya zamani akiwa WCB au hizi mpya, HAKUNA.
Unforgetable